Nampenda sana ila ana ngoma

Nampenda sana ila ana ngoma

sasa kwa kua bado umekomaa naye.. endelea naye ndani ya miaka kumi na tano ijayo dawa ya ukimwi itakua ishapatikana, ka bado mtakua mko pamoja atatumia then utaangalia sasa cha kufanya
 
Ngoma kitu kaka! Ngoma yenyewe siku hizi ni photocopy tupu original ilishapotea! Ukiipata itakuwa photocopy ya photocopy! Its nothing, chukua kifaa jembe. Jembeee!!!
 
Tumia condom tu, wengi hatuziamini lkn unaweza oa kabisa na mkazaa watoto asikuambukize, kawaine wataalam watakusaidia.

Mkuu condom huwa tuna tumia mara ya kwanza pili ya tatu tunajipa moyo eti una muaandaa sana dem ili michubuko isiwepo baada ya hapo ikiwa tamu hukumbuki ata umate umate kua kauka!
 
Good idea! If "she is what you left with" in your life...then living has nothing to do with dying. Enjoy your life, wait for your death. Every human being is supposed not to wory about death...coz once you have life, second you have death. Get reach or die trying: by 50cet.

FOR YOU, from the botom of your heart is true that the precious item in your life is SHE. And she is there. Get her, DEATH HAS NOTHING TO DO WITH YOUR LIFE. Enjoy it while living.

thanks so much
 
Mkuu condom huwa tuna tumia mara ya kwanza pili ya tatu tunajipa moyo eti una muaandaa sana dem ili michubuko isiwepo baada ya hapo ikiwa tamu hukumbuki ata umate umate kua kauka!

na hapa ndo huwa kuna tatizo hapa
 
sup wadau miss yah kinoma
kuna huyu dada nampenda sana kupita mnavyofikiri anasifa zote nazohitaji ila kuna kasoro moja anangoma ,na kwa jinsi navyompenda nimeamua tu niwe nae
je will this change my life destiny or status?

Yo what up my nigga,kama unampenda muoe tu,kama ana ngoma,mletee kinanda,gitar muanzishe band mle vichwa vya kutosha na live band.
 
inataka moyo

Uwoga, umasikini. Miss Neddy, hofu ni adui wa maendeleo yoyote na furaha yako. Unapenda Uhai, hupendi Kifo...Kifo kikikujia utakiona??? Utakizuia??? HAKIKA HUWEZI KUKWEPA KUFA. Unapenda uhai pekee, Je, una hakika utadumu na huo uhai pasi na kifo kutake pozi??? UKIPENDA KUISHI...USIOGOPE KUFA. Maana hukutuma maombi ya kuanza kuishi(tumboni mwa mama), Vile vile hutatuma maombi ya kutotaka kufa. MUHIMU KWAKO, MAADAMU UNAISHI, FURAHIA MAISHA. Siku ukifaaa, huna hasaraaa! Kuliko kuishi na hofu ya kifo...mpaka siku unakufa rrooho imekonda mpaka basi. Unaishi ukiogopa kufa, na bado utakufa.....VP HUU MTAZAMO?

Vp hao wanajeshi! Vp hizo ajali! Vp hata malaria inaua! Vp presha! SIKUTISHI miss neddy. Zijue na kuzikubali pande mbili za mfumo wa uwepo wa kitu chochote kile. KILA KITU KINA MWANZO NA MWISHO. Hapo katkat ni mchakato wa ustawi wake tuu. FURAHIA MAISHA KWA NAMNA YOYOTE UONAYO INAFAA, BILA KUMBUGUDHI MWENZAKO, ukijua cku zako za kuishi zinahesabika. KUNJUA HUO MOYO WAKO UWE NA USTAWI TELE. Kama huitafuti furaha yako ktk kuishiii, unaishi ili iweje??? USINIOGOPE.
 
Back
Top Bottom