Nampenda sana, ila amenizidi miaka 3

Nampenda sana, ila amenizidi miaka 3

Nahisi mapenzi yako kwake yanapungua,kwa sababu mpaka unaona kakuzidi umri baada ya miaka 3,je mwanzo hukuliona hilo?
 
hivi wanaume wa Dar nani kawaroga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

mambo gani haya sasa!???
kama humtaki tupa kule
dunia imejaa wadada mikato yako unayoitaka kila mahala..
acha kufanya mambo yawe magumu.. tupa huko kamata mwingine..
kesi imefungwa!!!
 
Wazungu wanasema age is just nini vilee?? Maana nshasahau
 
Ninampenzi ambaye tume dumu nae kwa miaka mitatu sasa tangu tuna anza nae alikua kabinti simple, ametulia, mpole ana sifa zote za kuitwa mke, interval yangu na yake ni miaka 3.Wasiwasi wangu nikwamba nahisi kimaumbile anasonga zaidi yangu japo si sana na itakuaje atakapo kuwa mke rasmi kwamba appearance yetu itakuaje.

Please ushauri wako mwana jf
Hujampenda sana, ili ni illusion tu. Wanaopenda sana hawaombi ushauri ila watu huwaomba wawapatie ushauri. Hence, mapenzi ni upofu
 
Back
Top Bottom