Nampenda sana, ila amenizidi miaka 3

Nampenda sana, ila amenizidi miaka 3

Kukua kwake kimaumbile kuna mahusiano gani na upendo wako kwako?...Does it mean umependa physical appearance yake?....Wat if ikatokea amepata ajali hana miguu utakuja kuomba ushauri?..maana hayo yote ni mabadiliko ya kimaumbile.

Anyway ngoja niende kwenye point ya msingi....It seems hujamzoea huyo mpenzi wako maana nilitegemea utuambie labda mmefanya efforts fulani na mwenza wako kuzuia ukuaji wake wa kimaumbile.

Design kama kuna picha naipata vileee....Umbo lake lina effect kwako kwenye mgegedano?...Usikute unashindwa kupekenyua ikulu vizuri kijana.....Maana haya maumbo makubwa yana hitaji technic ya hali ya juu.

Au ukuaji wake unakufanya uwe inferior pale unapo tembea nae maana unahisi watu wana kushangaa kwamba una tembea na jimama/dada yako or?

Pole kijana kaa na binti mwambie apunguze mwili coz utashindwa kumgegeda vizuri,mtashindwa kutoka,unaona aibu kutembea nae....Kama anakupenda atagundua u gt a point na atafanyia kazi maneno yako
 
thanks MISS CHAGGA ww mzoefu hapa nahc utakua na expirience KUBWA & yakutosha hapa!

experiance ya nini mdogo wangu? ukiniambia nikushauri nitakuuliza maswali machache je upo tayari kuyajibu?
 
Kukua kwake kimaumbile kuna mahusiano gani na upendo wako kwako?...Does it mean umependa physical appearance yake?....Wat if ikatokea amepata ajali hana miguu utakuja kuomba ushauri?..maana hayo yote ni mabadiliko ya kimaumbile.

Anyway ngoja niende kwenye point ya msingi....It seems hujamzoea huyo mpenzi wako maana nilitegemea utuambie labda mmefanya efforts fulani na mwenza wako kuzuia ukuaji wake wa kimaumbile.

Design kama kuna picha naipata vileee....Umbo lake lina effect kwako kwenye mgegedano?...Usikute unashindwa kupekenyua ikulu vizuri kijana.....Maana haya maumbo makubwa yana hitaji technic ya hali ya juu.

Au ukuaji wake unakufanya uwe inferior pale unapo tembea nae maana unahisi watu wana kushangaa kwamba una tembea na jimama/dada yako or?

Pole kijana kaa na binti mwambie apunguze mwili coz utashindwa kumgegeda vizuri,mtashindwa kutoka,unaona aibu kutembea nae....Kama anakupenda atagundua u gt a point na atafanyia kazi maneno yako

Thanks Junior, Ushaur
 
Npo Tayar Dada Angu Plz
  • kwenye akili yako nafasi ya umri katika akili yako unakichukuliaje? be u
  • je unampenda kweli kweli ? nikiwa na maana hata akiwa kichaa utaweza kuwa naye ?
  • umeshafikiria we ukiwa na miaka 30 yeye 33 atakuwa na mwonekano upi ? na je upo tayri kuvumilia hiyo hali?
  • unategemea kufanga naye ndoa lini?
  • kitu gani kinakusukuma kujua kuwa huyo anafaa kuwa mke wako?
 
hyo heading wameibadlisha hapo juu: namaanisha nmemzd miaka mi3 upo apo! yan mm miaka 24 mwanamke miaka 21
 
Ninampenzi ambaye tume dumu nae kwa miaka mitatu sasa tangu tuna anza nae alikua kabinti simple, ametulia, mpole ana sifa zote za kuitwa mke, interval yangu na yake ni miaka 3.Wasiwasi wangu nikwamba nahisi kimaumbile anasonga zaidi yangu japo si sana na itakuaje atakapo kuwa mke rasmi kwamba appearance yetu itakuaje.

Please ushauri wako mwana jf

Hivyo muda wote umekuwa ukipenda maumbile yake. Uhakika ni kwamba maumbile ya wadada wengi hubadilika kadri wanavyokua. Wanapopata mtoto/watoto maumbile hubadilika zaidi. Hivyo, ama ukubali kwenda na mabadiliko ya maumbile ubaki naye, ama ushindane na mabadiliko ya maumbile kisha "uwe nao" wengi kadri ya ladha ya maumbile.
 
Mkishaoana ndipo utamjali kwa kadri ya thamani yake ila kwa sasa mapenzi ya genye bado utajiuliza na kujibu maswali mengi. Note that; "Wife and husband materials now days are almost perished and if your luck enough to find one, use every power and energy of you to keep her/him." ref TAMATHEO
 
hapo chacha
 
Daa! wangap km ww! thanks a lot Timetho, Keep It brother
 
Back
Top Bottom