Visenti
JF-Expert Member
- Jul 24, 2008
- 1,025
- 333
Color i mean mke anazid kimaumbile kuwa mkubwa anakua kwa kasi
Maumbile yepi yanakua kwa kasi?
Color i mean mke anazid kimaumbile kuwa mkubwa anakua kwa kasi
Bila shaka mtakuwa mnalingana
Ushawahi kugonga au hadi ndoa?
Aren't you guys too young to get married?24 kwa 21
kama hakuna tatizo jingine katika uhusiano wenu haina shida, umri ni no tu.
endeleeni kumtegemea mungu tu awafikishe pale mnapotamani kufika.
hii ndo princpal yako
24 kwa 21
hadi ndoa