Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,920
- 82,243
πππππππ€£π€£ la wokovu? Bonge mabio ephen_
WATU HUJA NA KUONDOKAπ€Watu huja na kupita.
Watu wanavua makoti ya zamani na kuvaa mapya.
Chupa inaweza kubadilishwa ila mvinyo ukabaki ule ule.
Una zile pigo za ma shemni kweli na harusi yake watu tulikula mno minyama ya kutosha
Hata sisi japo tumekaakaa kidogo, ila tutaondoka tu siku ikifika.WATU HUJA NA KUONDOKAπ€
Sitaki tena mikataba kama ya mlango wa homuz huko Iran sitakiKwahiyo hutaki ushahidi π
Pigo zipi hzo πUna zile pigo za ma shem
Hakuna kitakachobakiHata sisi japo tumekaakaa kidogo, ila tutaondoka tu siku ikifika.
Basi tulegeze vipengele usaini tu sisi tunataka kukupa ushahidi πSitaki tena mikataba kama ya mlango wa homuz huko Iran sitaki
Mbona umegoma kukaguliwa na babu kama kweli tuishi kwa upendo?πHakuna kitakachobaki
Tuishi kwa upendo babu
Life it's too short
Pigo za mashemeji huzijuiPigo zipi hzo π
Ngoja nikapambane kuuza mbao nipate mahari nikubebe haraka haraka kabla hawajakuwahiMapenzi ya kweli yapo
Watu wazuri bado wapo
Watu wabaya wapo
Unataka mwanamke msafi alietulia mwenye upendo na heshima
Je wewe kwa tabia zako na mwenendo wako unastahili mwanamke huyo?
Kuna watu ni wataalam wa kuyatatua hayo matunduMbona tundu dogo hivo hata kidole hakipiti
Babu sijagoma bhana gari bovuMbona umegoma kukaguliwa na babu kama kweli tuishi kwa upendo?π
Likizimika linashtuliwa, uzuri gearbox manual, ukisukuma kidogo tu linawaka gear namba mbiliπBabu sijagoma bhana gari bovu
Linakokotwa na zima
Sema naogopa gari lisizimikie njiani
Au mafuta yakaisha maana sijui kama Iran kaachia mlango wake wa homuzππ
Unibebe kivpNgoja nikapambane kuuza mbao nipate mahari nikubebe haraka haraka kabla hawajakuwahi
Kumbe hili bila mafuta likisukumwa tu linateleza shwaaaaaLikizimika linashtuliwa, uzuri gearbox manual, ukisukuma kidogo tu linawaka gear namba mbiliπ
Una akili sana mjukuuππKumbe hili bila mafuta likisukumwa tu linateleza shwaaaaa
Mchawi kuwe na mvua kama hii utelezii sio wa kutafuta π
Cc:GARI LA MKOLONI
Vya kurithi babuπββοΈUna akili sana mjukuuππ