Nini wewe 😁Heheheh
Nini wewe 😁Heheheh
Tatizo mnabadilika kama kinyongaWatu huku nyuma ya keyboard wanajidai hawapendi mala ooh hakuna mapenzi huko behind mapenzi yanawagalagalaza kifo cha mende 😂😂😂
Ndo nini
Unatupiga kamba liveNini wewe 😁
Ungeniomba ushahidi kwanza kabla ya kuhukumu 😅Unatupiga kamba live
We muache tu. Watakuja wamle ugondoEti mwanadada kumbe ni njemba!Jombaa endelea kuweka donut rehani iloView attachment 3569606
Nani agalagazwe kisa kupenda toto la mtu unalokutana nalo from no where Tena ukubwani,Watu huku nyuma ya keyboard wanajidai hawapendi mala ooh hakuna mapenzi huko behind mapenzi yanawagalagalaza kifo cha mende 😂😂😂
Mapenzi ya kweli yapoTatizo mnabadilika kama kinyonga
Sio mbaya we si familiaUngeniomba ushahidi kwanza kabla ya kuhukumu 😅
Hakuna skuizi hapendwi mtu inapendwa chapaaaaMapenzi ya kweli yapo
Watu wazuri bado wapo
Watu wabaya wapo
Unataka mwanamke msafi alietulia mwenye upendo na heshima
Je wewe kwa tabia zako na mwenendo wako unastahili mwanamke huyo?
Tatizo Umeanza kunihukumu Kwahiyo sina nafasi ya kutoa ushahidi acha nikuitie mshenga wangu dosho12 anaweza kukupa ushahidi hata kidogo 😁Sio mbaya we si familia
Tupia ka ushahidi hapa😎
😂😂au niweke picha za harusi hapa hapa ashuhudie
Subiri kwanza asaini mkataba 😂😂😂au niweke picha za harusi hapa hapa ashuhudie
Kataa ndoa linda afya yako ya akiliSubiri kwanza kabla dosho12 hajaleta ushahidi tusaini mkataba hapa 😁
Kwamba akikupa ushahidi utachagua uolewe naye au nikuoe mimi kama mke wa pili 😂
Kubali tufunge mkataba
Kwahiyo hutaki ushahidi 😂Kataa ndoa linda afya yako ya akili
Kataa ndoa kila mtu akae kwake😎