Nampenda mume wa mtu

mimi hizi account nishazisoma.....mwisho wa wiki wanaandika...natafuta mme....mara..nimempenda mme wa mtu.....mara. Nina mimba ya nan sijui......acheni kucheza na akili za watu....
 
Mambo yakulaaniana sahv vipii.. Huyo analake jambo usikimbilie ndoa Kama huna uhakika
 
bikira ninayo
Jibu [emoji115] [emoji115]
Bikira y nyuma nayo unayo bado?

ulishawahi kumvulia chupi?
Swali[emoji115] [emoji115] jibu [emoji116] [emoji116] [emoji116]

ebu mpe utamu mara mbili ivi ukiona amepoa jua ameshatimiza lengo lake
Swali[emoji115] [emoji115] [emoji115] jibu[emoji116] [emoji116] [emoji116]
nimeshampa na bado hajapoa
Hitimisho: Ukiwa muongo jaribu kutunza kumbukumbu.........nenda kajipange tena maaamae
 
nimeshampa na bado hajapoa


endelea kumpa jitutumue kabisa,,mtu ambae ameshaoa na wewe ukaenda kumpa jua kwamba unamnufaisha yeye zaidi,ni kwamba anabadilisha ladha tuu ya kidyudyu,akishakinai anaudi kwa mkeo,,ndio hapo sasa utajikuta umeliwaaaaa na kuachwa umeachwa
 
Umeshasema 'mume wa mtu', ni nini kisichoeleweka hapo?
 
ukishtuka kwenye hiyo ndoto tutaomba mrejesho
 
nimempa jana wakati na post huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…