Nampenda mume wa mtu

Nampenda mume wa mtu

jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious

Huko kwa mtu mwingine unaolewa Na kwa mume wa mtu unaolewa aah kumbe shida yako ni ndoa wambie tu atakaewahi kukuoa ndio sirius mwenzio
 
Hauko serious hadi hapo. Hujajieleza vzr. Je ww dini gani na huyo mume wa mtu dini gani? Ikiwa jibu nyie ni wakristo ndo utaelewa kwa nn nimesema hadi hapo hauko serious kwani hakuna ndoa2 kwa mwanaume mmoja ktk ukristo. Utabaki mchepuko tu ndo hadhi yako huwezi kuhalalishwa kuwa mke.

Kama mwanaume muislam anaweza kuongeza mke ila usije tena na uzi mwingine kusema mwanaume dini nyingine yuko tyr kufunga ndoa mnishauri utatuchosha. Kama na ww muslim kazi ni nyepesi.

Next time jifunze basi kunyoosha taarifa ikiwa kweli unahitaji ushauri
 
Sawa mkuu ngozi asante
 
mkuu compact huyu mpenzi wangu tunashindwana kwa sababu ya dini ndugu zangu hawataki kunifanyia sendoff sasa anataka nikaishi nae kama mume na mke ndipo tufunge ndoa baadae jambo ambalo mimi silitaki pia amekua mtu wa kunilaani sana kua amenisubir muda mrefu na ikumbukwe mimi Nina 24 years kipindi ananisubir nilikua mdogo sana sasa yeye ananiachia laana kila siku
Anakuachia laana amekuwa mama ako???
 
umeshasema mme wa mtu!!!!,tafuta wako acha kuvunja ndoa za watu, ingekuwa ni wewe alafu usikie mume wako anataka kuoa mwanamke mwingine ungejisikiaje?????????
Katoto kenyewe kadogo 24yrs kanataka kujitwisha mambo makuuuubwa
 
Wanawake mnashangaza sana unaomba ushauri gan hapo sasa?
Ameshakugegeda?
kwnz tuanzie hapo km bado mpe akufukunyue inawezekana hayo yote anataka akuvue marinda.. akiendelea kukupenda uwe mke wa pili
 
jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
Punguza matukio,una mambo mengi kama unga wa ngano..
 
Hamna angekua muislamu angeweza olewa mke wa pili(bila kuvunja ndoa ya kwanza)lakini ukristo hauna ndoa ya wake wengi. Na huyu anajitapa hapa eti jamaa kamuahidi atamuoa(hapa inabidi ndoa ya kwanza ivunjike)
Hehehehee kwahiyo angekuwa mwislamu ndio asingemchezea?? Linapokuja swala la uzinzi unadhani kuna tofauti kati ya mktisto na mwislamu??

We mdanganye mwenzio tu. Shauri zako akihamia kwako.
 
Hahahaha uzi umevamiwa
Mi shahidi yake... ule uzi aliutoa akiwa bado hajazaliwa... mamaake alikuwa na mimba ya wiki nane na siku hiyo alikuwa amekunywa kiroba cha gongo.
 
wanawake bwana. Una mpenzi wako, ambae sawa mna jambo lenu ambalo hamjaafikiana na badala ya kutafuta solution unajiingiza kwenye penzi na mume wa mtu.

Sasa mdrop huyo mpenzi wako halafu fata mume wa mtu hamna rangi utaacha kuona.
 
Nakushauri uzae nae kwanza ili umpime uwezo wa kukutunza na mwanao. Tofauti na hapo anakudangajya
Anaekudanganya kuzaa, zaa uliwe kekundu hata huyo anaekulazimisha kipindi hicho hatahitaji single mam tena, utaendelea kudandia waume za watu na kuzaa nao mpaka mwisho.

Swali- hivi unajiskiaje kuwa mke wa pili?! Inamaana ulikosa wa kukuoa ukadandia, heshima yako itashuka kwa Jamii, fikria Mara mbili mbili
 
Dada tafuta Mume wako acha kudowea waume Wa wenzako eti nizae nae nyie wadada mnapenda watu wenye hela zao hamjui jinsi gani walivyoangaika kutafuta na waume zao.
 
jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
Atakuoaje na yeye ana mke wake.Usiwe mjinga binti, ni mhuni tu huyo anataka kukutumia he can't mary you.Achana naye tafuta wa kwako.Halafu kumbuka ni mbaya sana kuvunja ndoa ya mtu,unatafuta tu laana maishani na mbele za Mungu.
 
jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
Mume wa mtu
 
Back
Top Bottom