Nampenda mume wa mtu

Nampenda mume wa mtu

jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious

Wewe dada yangu usiwe mjinga kihivyo....Moyo au penzi haligawanyiki kamwe....jamaa kishaoa na yuko na mpenzi wake wa moyoni. Huyo anakuchezea tu na kukurusha roho...akikuchoka atakufanyia vituko mpaka utajuta dunia. Mwanaume ni sawa na mwanamke tu kwani anakuwa tayari anajuwa nani anamtaka, hayo mengine sijuwi bebi nini ni uwongo tu. Jitulize, vuta subira utapata wako.
 
jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
we mwehu kweli eti amesema atakuoa...mi nilidhani unataka usemee kuchepuka nae tu nikuelewe tu kuwa unakula kinachotengenezwa na mwanamke mwenzio kumbe eti amesema atauoa...so we unaonaatakuoa au....? ok lanbda maaana inaruhusiwa wanne sehemu zingine
 
anataka niwe 2nd wife

Hapo ndipo umekwisha....kwani yeye anataka akuhalalishe ili awe anajipigia bila wasiwasi wa kufumaniwa....Je, huko tayari kungojea foleni dushelele, wanaume wote waliojaa hapa mjini kwa ninii unataka ujitese na kulisubiria dushelele lako mpaka lije siku likijisikia? Kumbuka yule ni mwanadamu na mwanamme lazima atakuchoka tu.
 
Asante.....lakini nampenda
Jiweke nafasi ya mke wa huyo jamaa. Ninachokuhakikishia ni kwamba huyo jamaa hakupendi bali yupo na wewe kutimiza matakwa yake. Hatamuacha mke wake kwaajili yako hata siku moja. Funguka macho usepe katafute mume wako peke yako. Huu ushauri najua hutaufanyia kazi lakini baada ya miaka miwili mitatu utaukumbuka. All the best!
 
Asante mkuu
 
nimempa jana wakati na post huu uzi
Hiko kichwa chako bora kitolewe tu maana hakuna namna........wewe ni kilaza wa hali ya juu........huko chuo ulienda kusomea umalayaa????
 
kwani kupewa dushe ni umalaya
 
Mwanangu utakachopanda ndicho utavuna. Utakapoolewa na huyo mtu atqkuacha na kutafuta mwingine. Wewe hujiulizi tu kwa nini amemuacha mke wake akakupenda wewe. Muwe na huruma na wanawake wenzenu. Kama ni wewe mme wako anachukuliwa ungefanyaje. Kimbia haraka na utafute wa kwako. Jipime na ujiulize unayofanya na huyo mume wa mtu ni sawa?
 
nampenda jamani nampenda sana
 
nimempa jana wakati na post huu uzi
Kwa hio huku umepanua miguu wakati huo huo uko na simu yako unaandika huu uzi.... Ndivyo hivyo mama eeh? Hatushindwi kukushauri tatizo hili ni jambo la kutunga.
 
ndio sasa Ule mgegedo nikaona niombe ushaur
 
Back
Top Bottom