bikira ninayo
maaamae yaani ulikuwa na mimba halafu unadanganya kuwa bado bikra
....kweli wewe kilaza na huko chuo ulienda kusomea umalayaHuna bikira ww....breki pu.mbu hapo.bikira ninayo
Bikira y nyuma nayo unayo bado?bikira ninayo
Kwann kukimbilia chakula c chako??ckia mpnz wangu nkwambie..kuna muda na wkt wanandoa wanaona km wamechokana(zile hisia za mapenz mabichi km zlivyokua zaman znakua zmepungua kabsa kabsa)...ndio mana wengne hutoka nje ya ndoa ili kuitafuta ile radha ya mapenzi mabichi aliyokua akiipata zaman...lkn sio kwamba hampend mke hapanaaa anampenda lkn misukumo ya mwili na hisia humsukuma ivo...sasa kwann uwe shock absorber wa ndoa za watu?? Kwann ule chakula c chako?jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious

Kwani umeshaolewa?jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
Asante mkuu ushauri mzuri sanaKwann kukimbilia chakula c chako??ckia mpnz wangu nkwambie..kuna muda na wkt wanandoa wanaona km wamechokana(zile hisia za mapenz mabichi km zlivyokua zaman znakua zmepungua kabsa kabsa)...ndio mana wengne hutoka nje ya ndoa ili kuitafuta ile radha ya mapenzi mabichi aliyokua akiipata zaman...lkn sio kwamba hampend mke hapanaaa anampenda lkn misukumo ya mwili na hisia humsukuma ivo...sasa kwann uwe shock absorber wa ndoa za watu?? Kwann ule chakula c chako?
Kingne km mume au mke wa MTU kakutaka ujue so mwaminifu ktk ndoa yke..je,akiwa na ww unadhan atatulia...umekosea usijipe 100℅ kwan ata aliyeachwa unadhan alkua na asilimia ngap?...my hicho chakula so chako..
Ushauri:kuna mume wako..peke ako ambaye ameumbwa kwa akili ako anakuja..usifanye haraka...chakula chako kinakarbia kutoka jikon..tena ni cha moto ambacho hapana MTU aliyekishikashka...achana na cha mwenzio ambacho kala
Jipe muda Fanya maombi juu ya mume wko mtarajiwa..atakuja tuu atakayekupenda were tu...
Nimekumbuka tena..."Love is a decision"...ko amua kutompenda mume wa mtu... Tena achana nae..mpotezeee
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
bado sijaolewa
ninayo bikira mkuuBikira y nyuma nayo unayo bado?
mimba ipi mkuu mbona unanichanganya![]()
![]()
maaamae yaani ulikuwa na mimba halafu unadanganya kuwa bado bikra
![]()
....kweli wewe kilaza na huko chuo ulienda kusomea umalaya
We ni muislamu?sasa kama anataka kukuoa na nimuislamu go ahead,kama wewe ni mkristo badili dini and get married,kama yeye ni kristo abadili dini yeye akuoe that's all si mnapendana?jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
Asante mkuu nashukuru sanaKwani umezipokea izo laanaa??kwann utishwe na maneno ya watu yaitwayo laana eti kisa umesimamia jambo lililo sahihi...skia my...me npo tayar kumwacha ata mpenz wangu wamiaka mingi nyuma..kisa kuanza kuishi maisha ya ndoa kabla ya ndoa...coz kwangu lina uzito usio kifan...Fanya maombi my..mshirikishe Mungu atakupa nn cha kufanya..afu umtegemee ktk kila kitu..pia uyo mtu ako km anakupenda lazm aweze kukaa chini kuongea na ww ili muweke aya mambo sawa....bdo unanafac...mshirikishe na Mungu ktk hili
Usijifanye huelewi........au unajitoa ufahamu???mimba ipi mkuu mbona unanichanganya
Unafanya nini hapo njia panda, mdau?mkuu nipo njian panda nifanyaje jaman
Hakuna moyo hapo bali ujinga na ujuha tu. Na ninachoona unapenda sana mali ndo sababu kwa dini yake umemtosa lakini pamoja na kuwa mkristo na ana mke umempenda ni kwa sababu ana mali.ndo maana nikaomba ushauri tatizo moyo sio ujinga
jamani mbna sina tamaa na mali mbna watu wengi wenye mali nawaona? why binadamu mnagugde hivyo? ningekua nataka mali hapa kwenye jukwaa ningekuja kufanya niniHakuna moyo hapo bali ujinga na ujuha tu. Na ninachoona unapenda sana mali ndo sababu kwa dini yake umemtosa lakini pamoja na kuwa mkristo na ana mke umempenda ni kwa sababu ana mali.
I hate moneymongers
Unafikir kuzaa n kama kutest engine ya gariii.Nakushauri uzae nae kwanza ili umpime uwezo wa kukutunza na mwanao. Tofauti na hapo anakudangajya
kumbka ayo ndio maisha unayotaka kuyajaribu jaribu..na ukishazaa akakuna na mtoto wko...utakua umemkomoa nani
