Nampenda mume wa mtu

Nampenda mume wa mtu

jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
Sa mbona unamuita mume wako wakat hajakuoa bado
 
Back
Top Bottom