jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
Sawa mkuu ngozi asanteHauko serious hadi hapo. Hujajieleza vzr. Je ww dini gani na huyo mume wa mtu dini gani? Ikiwa jibu nyie ni wakristo ndo utaelewa kwa nn nimesema hadi hapo hauko serious kwani hakuna ndoa2 kwa mwanaume mmoja ktk ukristo. Utabaki mchepuko tu ndo hadhi yako huwezi kuhalalishwa kuwa mke.
Kama mwanaume muislam anaweza kuongeza mke ila usije tena na uzi mwingine kusema mwanaume dini nyingine yuko tyr kufunga ndoa mnishauri utatuchosha. Kama na ww muslim kazi ni nyepesi.
Next time jifunze basi kunyoosha taarifa ikiwa kweli unahitaji ushauri
Anakuachia laana amekuwa mama ako???mkuu compact huyu mpenzi wangu tunashindwana kwa sababu ya dini ndugu zangu hawataki kunifanyia sendoff sasa anataka nikaishi nae kama mume na mke ndipo tufunge ndoa baadae jambo ambalo mimi silitaki pia amekua mtu wa kunilaani sana kua amenisubir muda mrefu na ikumbukwe mimi Nina 24 years kipindi ananisubir nilikua mdogo sana sasa yeye ananiachia laana kila siku
Katoto kenyewe kadogo 24yrs kanataka kujitwisha mambo makuuuubwaumeshasema mme wa mtu!!!!,tafuta wako acha kuvunja ndoa za watu, ingekuwa ni wewe alafu usikie mume wako anataka kuoa mwanamke mwingine ungejisikiaje?????????
Punguza matukio,una mambo mengi kama unga wa ngano..jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
Hehehehee kwahiyo angekuwa mwislamu ndio asingemchezea?? Linapokuja swala la uzinzi unadhani kuna tofauti kati ya mktisto na mwislamu??
We mdanganye mwenzio tu. Shauri zako akihamia kwako.
Mi shahidi yake... ule uzi aliutoa akiwa bado hajazaliwa... mamaake alikuwa na mimba ya wiki nane na siku hiyo alikuwa amekunywa kiroba cha gongo.
Hebu kwanza sema mlifikia wapi na huyu mpenzi wako? Kisha tutakushauri maana unaonekana ushauri wa watu humu ndani hauutumii ipasavyo.
Msaada; Ninataka kufunga ndoa lakini mpenzi wangu ni dini tofauti na yangu
Anaekudanganya kuzaa, zaa uliwe kekundu hata huyo anaekulazimisha kipindi hicho hatahitaji single mam tena, utaendelea kudandia waume za watu na kuzaa nao mpaka mwisho.Nakushauri uzae nae kwanza ili umpime uwezo wa kukutunza na mwanao. Tofauti na hapo anakudangajya
hhahaha hapo sasa!! akue kwanza atakutana na mume wake mbele ya safariKatoto kenyewe kadogo 24yrs kanataka kujitwisha mambo makuuuubwa
Atakuoaje na yeye ana mke wake.Usiwe mjinga binti, ni mhuni tu huyo anataka kukutumia he can't mary you.Achana naye tafuta wa kwako.Halafu kumbuka ni mbaya sana kuvunja ndoa ya mtu,unatafuta tu laana maishani na mbele za Mungu.jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
Mume wa mtujamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious