Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,916
- 3,747
Nkimpanga anipe mzigo ananipanga vizuri.mm naandaa mazingira fresh.
Ila akija gheto anabadilika ghafla.Nikimuliza vip kuhusu mishe anieleza hawezi akazin yeye ameokoka.Kama nampenda nsubirie nimuoe natufunge ndoa kanisan.
Ila anasema ananipenda ila show ndoh ataki. Mimi nmeona bora niachane naye maana siwezi kaa na demu kama hakuna tendo.
Jamani hawa madem wakilokole wana taabu sana, Na nilivyo na upwiru wa hatari.