willzkichaa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 422
- 190
Karma is a bitch!
Hizi ni akili za kijinga sana "kwetu"?? Sio "kwako" maliza Shule kwanza maana unaonyesha huna Mbele wala nyumani kuzini pia kugongwa na single ni kuzini pia kote ni kuzini tuuu...mimi sina shida na mali mkuu kwetu tuna mali nyingi tuu naangalia upendo na ndo maana naomba ushauri
nimeshamaliza chuo mkuuHizi ni akili za kijinga sana "kwetu"?? Sio "kwako" maliza Shule kwanza maana unaonyesha huna Mbele wala nyuma
mkuu mfano nikidate na single boy ntakua si ziniMkuu hauzini kweli kufanya hivo?
Kama jibu ni ndiyo Muogope Mungu wako na kama jinu ni hapana endelea ila ujue kuna kumwagiwa tindikali
Tulia upate kazi, uanze maisha yako ujijenge na baada ya hapo utampata chaguo lako wa kufanana nawe,huyo bwana atakutumia na kukuchakaza mwishowe atarudi kwa mkewe! Anajua udhaifu wa ma binti wengi wa sasa watajie ndoa,utawapata kwa bei nafuu sana kama alivyokupata wewe. Kikubwa achana nae Mara moja anakutia tu mkosi na maisha yako yote ndoa utaja isikia kideoninimeshamaliza chuo mkuu
Umesomea nini mkuu huko chuo na chuo gani?nimeshamaliza chuo mkuu
Sidhani kama umejibu ila naona umeuliza swali tumkuu mfano nikidate na single boy ntakua si zini
Pole sana. Anakuchezea huyo. Keshaona akili yako sio ya kijanja so kapenyeza ndoa umchanulie apate anachokitaka. Girl be careful, extra careful
nimesoma account chuo flani hivi maarufu hapo darUmesomea nini mkuu huko chuo na chuo gani?
Asante madameTulia upate kazi, uanze maisha yako ujijenge na baada ya hapo utampata chaguo lako wa kufanana nawe,huyo bwana atakutumia na kukuchakaza mwishowe atarudi kwa mkewe! Anajua udhaifu wa ma binti wengi wa sasa watajie ndoa,utawapata kwa bei nafuu sana kama alivyokupata wewe. Kikubwa achana nae Mara moja anakutia tu mkosi na maisha yako yote ndoa utaja isikia kideoni
Mi shahidi yake... ule uzi aliutoa akiwa bado hajazaliwa... mamaake alikuwa na mimba ya wiki nane na siku hiyo alikuwa amekunywa kiroba cha gongo.Mwongo huyu,kuna uzi alitoa aliandika ana miaka 25,je miaka inaenda mbele au inarudi nyuma?
Kwanini unaogopa kukitaja chuo chako CBE??nimesoma account chuo flani hivi maarufu hapo dar
hahhahaMi shahidi yake... ule uzi aliutoa akiwa bado hajazaliwa... mamaake alikuwa na mimba ya wiki nane na siku hiyo alikuwa amekunywa kiroba cha gongo.

sioCBEKwanini unaogopa kukitaja chuo chako CBE??
Nakuona HR Manager uko kikazi zaidi. Ukifanikiwa unipasie... si unajua kizuri mtu hula na nduguye?Umesomea nini mkuu huko chuo na chuo gani?
Ndiyo maana. Hivi mkuu unajisikiaje kulalwa na Mme watu?nimesoma account chuo flani hivi maarufu hapo dar