thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
- Thread starter
- #61
Am back again...yule msichana nimebembeleza mwezi na zaidi hatimaye nimempata...huu ndo mrejesho kwenu
Hapana nipo dodoma kwa sasaUnaishi dar et ee?
shangaaa na weweSasa kama unashindwa kumwambia mbona unatuambia sisi? Kwani sisi ndio wahusika.
Jinsia yako tafadhali.Habarini wakuu...
Daaah kuna binti mmoja nampenda sana ila sasa nashindwa kumtokea maana nimetoka kufahamiana naye kama week mbili hivi zimepita na natamani aje kuwa mama wa watoto wangu changamoto iliyopo ameshaniambia kuwa anaboyfriend wake ila kwa anavyosema anatamani apate mwanaume atakaye muoa maana huyo boyfriend wake hana uhakika kama atamuoa ingekuwa wewe ungefanyaje?
any updates?.Habarini wakuu...

Domo zegeHabarini wakuu...

Ww ni domo zege, domo misumali Domo uji.......mtu umeweza kupiga nae strory na kasema anatamani na ww ujiongezi...... Bichwa zitoHabarini wakuu
Daaah kuna binti mmoja nampenda sana ila sasa nashindwa kumtokea maana nimetoka kufahamiana naye kama week mbili hivi zimepita na natamani aje kuwa mama wa watoto wangu changamoto iliyopo ameshaniambia kuwa ana boyfriend wake ila kwa anavyosema anatamani apate mwanaume atakaye muoa maana huyo boyfriend wake hana uhakika kama atamuoa ingekuwa wewe ungefanyaje?
Sasa c umuambie kuwa na ww unataman uwr baba wa watoto wake?Habarini wakuu
Daaah kuna binti mmoja nampenda sana ila sasa nashindwa kumtokea maana nimetoka kufahamiana naye kama week mbili hivi zimepita na natamani aje kuwa mama wa watoto wangu changamoto iliyopo ameshaniambia kuwa ana boyfriend wake ila kwa anavyosema anatamani apate mwanaume atakaye muoa maana huyo boyfriend wake hana uhakika kama atamuoa ingekuwa wewe ungefanyaje?
Aya kaa kwa kutulia kama miaka minne hivi, mda utakua umekutoshaNaona bado mapema anaweza akanihisi vibaya
Wanaume wengine bhana sijui mnafeli wapiHabarini wakuu