Bonge ya ngomaMrembo namba nane ananichanganya.
Toka moyoni nasema nampenda sana.
Hebu piga hilo gitaa majani kama santana……………
Hapana mkuu, mimi ni kati ya wachache wema sana humu jeiefu....tehteehhHahahha...unataka kuninyang'anya tonge mdomoni
Basi sema umemtamani sio umempenda kumpenda yaweza kuja baadaeDaaah...kupeleka posa mapema nayo ni issue nyingine hiyo lazima nimsome kwanza tuone Kama tutakuwa na bright future
Hahhahaha kwani kuna sheria ya muda wa kuoa?
Nijuane na mtu wiki mbili afu nioane naye!!!!???Sasa mkuu hapo unashindwa nini
Wakati binti amekupa nafasi ya kumuoa kabisa
Peleka posa alafu uone kama atakataa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeSasa mkuu siku hizi mambo ya simu tena unaogopa unamtumia text usiku afu unazima simu ili ukiamka ukutane na majibu
Yah....mwanaume anatamani then anapenda so Kama kumtamani nimemtamani na kumpenda nimempenda, maana huwezi kupenda Kama hujatamani zaidi ya hapo utakuwa unafiki tuHamna muda maalumu uliowekwa, lakini, ndani ya wiki mbili tu, tayari unataka kuvuta mtu ambaye utaishi naye maishani?
Apo ni kutamaniana tu na si kupendana
89+50-75+1650÷(99-99+55)-68=Umri wako mkuu kama hutojali
89+50-75+1650÷(99-99+55)-68=
Umeshapata jibu?Basi sawa
Yah....mwanaume anatamani then anapenda so Kama kumtamani nimemtamani na kumpenda nimempenda, maana huwezi kupenda Kama hujatamani zaidi ya hapo utakuwa unafiki tu
Ndo we mlengwa nn mkuuNijuane na mtu wiki mbili afu nioane naye!!!!???