Nampenda lakini nashindwa kumwambia

Nampenda lakini nashindwa kumwambia

Mbona huelewiki? mbona inaonekana mmeshazungumza vya kutosha tu mpaka akakuambia ana boyfriend na anataka kuolewa ila hana uhakika na huyo b.f wake kama atamwoa. Hapo ndipo ungepaswa uchomeka haja ya moyo wako.

NASIKITIKA SANA KAMA UMEFAHAMIANA NA MTU NDANI YA WIKI MBILI TAYARI UNATAKA KUMWOA
Hahhahaha kwani kuna sheria ya muda wa kuoa?
 
Kama Unaogopa Kumwambia Basi baki tu Kuwa Mpenzi Mtazamaji Sio Mbaya
 
Moyo huwa mdanganyifu kuzidi vitu vyote, tena una ugonjwa wa kufisha, wiki mbili ni chache mno kusema kwa hakika kuhusu mtu unayetaka awe mkeo/mmeo, Kama unahisi hivyo kwa sasa muendelee na urafiki, kwa kadri muda unavyoenda mfahamishe nia yako hiyo, ila muombe muda zaidi wa kuchunguzana , mengine yatakua historia!
Yah..ni kweli na mm sijamaanisha kuwa nitamuoa direct Ila kwa kuwa nimetokea kumpenda basi swala la kuoa sio shida tunaweza Yukawa wapenzi then tukawa tunasomana na kupanga mikakati ya ndoa
 
THE ONLY MISTAKE AMBAYO NIMEIFANYA KTK LIFE NI KUTOMWAMBIA UKWELI SHE WAS MY BEST FRIEND AT THE END OF TIME ALIOLEWA .ALIJITAHID KUWEKA MAZINGIRA NIONGEE LAKNI WAPI SKUWEZA .DAH ILE SIKU STASAHAU ANANIAGA...ANYWAY TUACHANE NA HAYO HIO EXPERIENCE ILINIBADILISHA HATA HVYO NILKUWA NSHACHELEWA HVYO USIWE KAMA OLD ME MTOA MADA
 
Unaitwa Nani..Fid Q
Unaishi wapi...Ghetto
Kazi yako nini.....mziki

Mrembo namba nane ananichanganya.

Toka moyoni nasema nampenda sana.

Hebu piga hilo gitaa majani kama santana……………
 
Huu Uzi umejaa uboya hautofautiani na ule wa CHAPUTA NATIONAL ELECTION
 
Hatua ukiyofikia sio ya kujiita domo zege mkuu Sema labda unaogopa kumwambia kuwa unampenda na unataka kumwoa that's All. Domo zege hawezi kufanya yote hayo I mean kupiga story na kuongea na Ampendaye.

Muhimu jiamini wewe kama wewe na mwambie maamuzi sahihi yako mikononi mwako mkuu

Good lucky
 
Kwa maneno yako... huyo binti anamaanisha utupe ndoano... Kwa sababu hana mtu.
 
Back
Top Bottom