Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Sangapi nije?njoo geto nikuelezee.
Sangapi nije?njoo geto nikuelezee.
mimi sio mtu wa jukwaa hili.Nahisi ni wewe
Mbona wewe unanipenda halafu huniambii au mpaka niwahiweKama unamjua mwambie tu usipoteze muda watakuwahi wenzio!!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mbona wewe unanipenda halafu huniambii au mpaka niwahiwe
Mi nitafikisha ujumbe....na wala sihitaji malipo...ahsante itanitosha tuWakuu hbr zenu!
Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.
Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.
Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
pole jamani si bora umtajeWakuu hbr zenu!
Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.
Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.
Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
MhMUMEO AMEKWENDA WAPI? HUONI KUWA UNAHATARISHA NDOA YAKO! KAA CHINI UTULIE, NYAMA NI ILE ILE INGAWA MABUCHA NI TOFAUTI.
Usijali shost nina ulinzi wa Nyani NgabuAngalia shost usije nasa huko
Mhhhhh!!!.....Labda akubali kuwa mke wa pili mimi nampenda joanah wangu na alishanitoboa macho kwingine sioni!Cc Behaviourist
Monicca kakuelewa uku anashindwa kukwambia
itabd avumilie tu sikampenda [emoji28]Monicca kama unampenda halafu ukagundua yafuatayo utafanyaje?
*hana hela
*ana kitambi bonge
*ana kibamia
Ni kweli mimi ni msema ovyo ila sitendi ovyo wewe siyo msema ovyo ila ni mtenda ovyo hadi watu hawaamini kuwa wewe unaweza kuwa mwanamke, karibia kila mtu hapa JF anaamini kuwa wewe ni mwanaume kutokana na uyatendayo hakuna mwanamke ambae atazubutu kuyatenda!!!....nani ana afadhali hapo??Nani amtake huyo msema hovyo loh!
Acha kumuita dada ni kakaPole sana dada Vuta subira inawezekana nae atajitambua na kukufuata pm
Mmmh!Mhhhhh!!!.....Labda akubali kuwa mke wa pili mimi nampenda joanah wangu na alishanitoboa macho kwingine sioni!
Huyu ni kidudu mtu mkuu achana nae!Hivi si uliolewa wewe!!
[emoji23][emoji23][emoji23]!!Utamfanya aje mbio