Nampenda lakini naogopa kumwambia!

Nampenda lakini naogopa kumwambia!

Hii ni shida sana yaan mtu anakupenda harafu anaogopa kukuteli utakuwa na shida kubwa
Ndo hao wanawake hata akiambiwa nakupend anakutolea nje ili akutese tu moyon anakupenda kwel na akizidiwa anamegwa na wengine hadi noma
 
mh...kama tu kumpm unaogopa je ukikutana nae utaweza kumtizama usoni kweli...si ndio utaogopa ata kumshika mkono
 
Bora nijitokeze lkn siri yetu tu moniccca watu wasijue
 
Duh huo uzi wa monicca umemimina watu kwl na uckute unayeogopa kumwambia nae anakumezea mate anaogopa kutoswa pia
 
Hayo mengine yatakuja pole pole
mh....haya mimi nakutakia mafanikio mema tuu ila Wanaume acheni kutuchafua, tupeni raha si ndio utamuacha? umvumilia ata akiwa Wanaume wamekuwa wanaume suruali awamu hii ya tano akijua Mume wangu ana michepuko hamsini kidogo itakuaje? .... kumbe upo kwenye ndoa Ndoa yangu ina dalili za usaliti au kwakuwa Mume wangu ana michepuko mingi ndo umeamua kumtafutia dawa? Naweza kuwa nina mimba? pengine inakusumbua.... samahani kwa hayo mpendwa wangu
 
Miaka hii sio ya kuogopa,wanawake ambao wanaogopa kama wewe wanabaki na matamanio yao afu anaishia kuona mwanaume aliempenda anawengine..........SKU hz wanaume hatushikwi kwa mitego kama zaman sku hz tunahitaji mwanamke atamke kwa maneno
 
Wakuu hbr zenu!

Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.

Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.

Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.

[emoji115][emoji23][emoji23][emoji23]!
 
mh....haya mimi nakutakia mafanikio mema tuu ila Wanaume acheni kutuchafua, tupeni raha si ndio utamuacha? umvumilia ata akiwa Wanaume wamekuwa wanaume suruali awamu hii ya tano akijua Mume wangu ana michepuko hamsini kidogo itakuaje? .... kumbe upo kwenye ndoa Ndoa yangu ina dalili za usaliti au kwakuwa Mume wangu ana michepuko mingi ndo umeamua kumtafutia dawa? Naweza kuwa nina mimba? pengine inakusumbua.... samahani kwa hayo mpendwa wangu
Sijaelewa hapo.
 
Back
Top Bottom