Nampenda lakini naogopa kumwambia!

Nampenda lakini naogopa kumwambia!

Jamani wanaume wa mikoani mna makavu live
Anatongoza wanaume wa JF ili wampe dyudyu halafu anakuja kuwasema vibaya hapa,hiyo ndo nini???.....ona hii https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1120053/

9bf65457c67849029fad37fa5ab0783d.jpg
 
Wakuu hbr zenu!

Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.

Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.

Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
Candy crush saga!
 
Monicca kama umempenda.. mtumie ujumbe inbox. Hizi ni zama za uwazi, just kuwa na ujasiri mwambie. Ukikaa kimya huku ukisubiri watu wakusaidie kufikisha ujumbe .. utakuwa unapoteza muda.
Na pia waswahili wanasema... "chelewa chelewa utakuta mwana si wako" .
 
Haahaahaaaa! jana nilikuwa nafanya utafiti nikuone kama una roho ya uvumilivu, na kweli nikagundua kumbe unaweza kuvumilia mawimbi, kwa hiyo usiwe na wasi na mimi.
.....
......aiseeh nimemisi mambo mazuri huku ...Mkuu mbavu zangu
 
Back
Top Bottom