Nampenda lakini naogopa kumwambia!

Nampenda lakini naogopa kumwambia!

Mimi nilikuwa nakupima tu kuona kama una wivu kwa sababu wivu ni kipimo kimojawapo cha mapenzi pia![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi tunapendana bebe,ila usiwe unanipima kwa mambo makubwa makubwa ivo!
Utaniua mwenzio [emoji19]
 
Monicca kama unampenda halafu ukagundua yafuatayo utafanyaje?
*hana hela
*ana kitambi bonge
*ana kibamia
Sitaki mwenye hela nataka mwenye akili ya kutafuta HELA....mwenye kitambi hapana ...mwenye kibamia ntaangalia kama anaweza kukitumia
 
Wakuu hbr zenu!

Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.

Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.

Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.

Funguka
 
itabd avumilie tu sikampenda [emoji28]
Monicca hawezi kuvumilia hizo ndo weakness zake, ona hapa alivyojibu anaandika comment huku anatetemeka vidole[emoji116] [emoji116] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Sitaki mwenye hela nataka mwenye akili ya kutafuta HELA....mwenye kitambi hapana ...mwenye kibamia ntaangalia kama anaweza kukitumia
 
Back
Top Bottom