Nampenda lakini naogopa kumwambia!

Nampenda lakini naogopa kumwambia!

Wakuu hbr zenu!

Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.

Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.

Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
Jitunze.. Huenda na yeye anakufuatilia....!
 
Haya ni maaajabu mengine tena kuyashuhudia,atajuaje kama unampenda?kufa na tai shingoni mama[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom