Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,082
- 6,425
Dume zima kujifanya jike, au unatoa ndogoAsante mkuu hicho nacho nikipaji kiendeleze kitakutoa kimaisha
Dume zima kujifanya jike, au unatoa ndogoAsante mkuu hicho nacho nikipaji kiendeleze kitakutoa kimaisha
SirudiRudi tu kwakeli..kawaletee wanaume wenzio
Ndiyo huyu Monica aliyekuwa ameolewa?Wakuu hbr zenu!
Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.
Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.
Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
Sawa mkuuNdiyo huyu Monica aliyekuwa ameolewa?
Tena na zile thread zake za sperm zinamchoma na alikuwa ana mlalamikia jamaa ana mcheat?
Km ndiyo ww kuchepuka siyo suluhu la ndoa yako kuwa na amani na furaha. Kuliko kuwa na maumivu ya kila siku na kutaka kulipiza kisasi kwa jamaa bora muachane uwe huru na uishi bila ndoa hata km ukirudi saa 10 usiku hakuna atakayekuuliza
sijawahi kuamini katika kutukana na kama niliwahi kufanya hivyo Mungu anisamehe bure.Kwani hujawahi tukana?
Naomba umulize kama ni mmNi nani huyo monii?