Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
We hutukanagi?Naomba umulize kama ni mm
We hutukanagi?Naomba umulize kama ni mm
Nahisi ni weweAisee
Siyo behaviourist atakuwa anamaanisha ni mmCc Behaviourist
Monicca kakuelewa uku anashindwa kukwambia
HahahaSiyo behaviourist atakuwa anamaanisha ni mm
Umenikumbusha kitu..wakati nikiwa mdogo mama aliniambia nikitukana mdomo utaenda upande basi nikawa naogopa sana kutukana ..baadae nikaona wenzangu wanatukana na midomo haiendi upande..We hutukanagi?
Ha ha haa basi we toto zuriUmenikumbusha kitu..wakati nikiwa mdogo mama aliniambia nikitukana mdomo utaenda upande basi nikawa naogopa sana kutukana ..baadae nikaona wenzangu wanatukana na midomo haiendi upande..
Nikasema namm ntajaribu nione..siku moja nikiwa na hamu yakutukana nikachagua tusi gumu sana hata kulitamka..nikamtukana mama mwenyewe aliyeniambia nikitukana tu mdomo utaenda upande..nikalifyatua ..wewe... kilichofuata hapo siwezi hata kukisema... sikuwahi kutukana tena mpaka leo.
Si wajua kichwa yangu ilivo ngumu shost. Fanya kunambia tuHata wewe bado hujamjua Valentina ?