Nampenda lakini naogopa kumwambia!

Nampenda lakini naogopa kumwambia!

Wakuu hbr zenu!

Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.

Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.

Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
Usihofu honey..mi mwenyewe nlishagundua kuwa unanipendaga sana.!
Njoo tu mama tuyajenge hata mimi nlisubiri ufungue moyo wako.[emoji12]
Naahidi mbele ya mashahidi wa Jf ntakupenda daima kama
Mbwa jike na kamwe sintokuangusha.[emoji39]
 
Wakuu hbr zenu!

Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.

Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.

Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
Nimekukubali Beib
 
Huyo jamaa unaemtaka alikuwa anatoka na mdada flani hv na ninaishi nae mtaa mmoja wanamsema ana kibamia na anawahi kupizi,
UNAONAJE UKINIPA FURSA MIMI NIKUGEGEDE MKUU?
 
Back
Top Bottom