Nampenda huyu Mume

Mwangalie machoni huyo Jazzy.

Ukiwa intuitive utaona wazi kabisa ana amani moyoni mwake.

Energy yake ipo excellent.
Huwezi zuia kumpenda mtu wanamna hii.

Real recognizes real.

Baadhi wapo na muonekano poa lakini energy zao sio kabisa.

Positive vibes sio kwa tunayoongea tu na kutenda.

Hata vile watu wanatuwazia wakituona kwenye picha au sehemu za shughuli zetu.
 


Ni kweli mkuu, na huu ujasiri wake wa kutoka hivi umewatia moyo watu wengi wanao semwa kama yeye. Amepata positive response nyingi sana kuliko negative once. Wengi wamemshukuru kuwatia moyo.
 
Hivi mkuu siku JF ikikosekana hewani si utapatwa na "JF arosto"
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ni kweli mkuu, na huu ujasiri wake wa kutoka hivi umewatia moyo watu wengi wanao semwa kama yeye. Amepata positive response nyingi sana kuliko negative once. Wengi wamemshukuru kuwatia moyo.
Yea, kuamua kujipenda unapologetically sio jambo rahisi.

Watu wanatishwa sana na mabadiliko.

Na wanachohofia kinajulikana wazi tu.

Jamii itanisema vibaya kwahiyo nitajisikia vibaya.

Ndiyo maana watu wengi wanaishi maisha ya kawaida kawaida tu. They fear change.

Heko kwake.

Self love muhimu sana.

Binafsi kama hujipendi unapologetically naona nikupoteza time tu. Rat race.

Conscious livity is must.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…