Wanasema maumivu ya kichwa huanza polepole, Nilikuwa simpendi huyu mwanamke, lakini sasa bila kumuona nakosa raha kabisa nahisi namuogopa au nampendea sana.. lakini kiukweli nafurahia uwepo wake.. Ninge m-pm lakini najua kuna watu kama mimi walisha wahi kuwachukia watu then wakaja kuwa ni wapendwa wao sana,
Quick analysis..?
Hisia hasi za Chuki, Woga , Shaka ... nk nikama sumaku ... HUVUTA.. na Kushikila ... Hatimaye kupumbaza ...na Huo mshikamano kuonekana ...UPENDO ...haha hah!!
Honestly..? ... Its a false LOVE ... LOVE HATE RELATIONSHIP!!
Umesikia ndoa zimedumu dk 5 au siku 7 tu ... kachunguze walichukina hadi kuoana kwa upendo wa hisia hasi!!
Quick analysis..?
Hisia hasi za Chuki, Woga , Shaka ... nk nikama sumaku ... HUVUTA.. na Kushikila ... Hatimaye kupumbaza ...na Huo mshikamano kuonekana ...UPENDO ...haha hah!!
Honestly..? ... Its a false LOVE ... LOVE HATE RELATIONSHIP!!
Umesikia ndoa zimedumu dk 5 au siku 7 tu ... kachunguze walichukina hadi kuoana kwa upendo wa hisia hasi!!
yaani sipati picha jinsi itakavokuwa party ya mmu ikifanyika je elia akikutana live na faizafoxy atamweleza live maneno aliyoandika hapa? bado nawaza party ya jamii forum tukiwa jamvini itakuwaje......... sipati picha
mkuu unaweza kuwa unampenda mtu lakini kila ukikutana nae hana habari na wewe sembuse kukusalimia, utaanza kumuona kama anaringa, anajisikia, anadharau nk nk... siku mambo yaki change.. the truth come out. IS NOT love hate... is LOVE
ulikuwa wafukuzwa kukosea kosea hapo chini WALICHUKINA ni lugha gani?
I mis some point here, wewe unaipenda Avatar yake au Username yake? nashindwa kabisa kuelewa hii kitu, labda tungekuwa facebook angalau ningeweza kukuelewa, hapa kuna ID zinatumiwa kama taasisi ziko oparated na zaidi ya watu 10.Wanasema maumivu ya kichwa huanza polepole, Nilikuwa simpendi huyu mwanamke, lakini sasa bila kumuona nakosa raha kabisa nahisi namuogopa au nampendea sana.. lakini kiukweli nafurahia uwepo wake.. Ninge m-pm lakini najua kuna watu kama mimi walisha wahi kuwachukia watu then wakaja kuwa ni wapendwa wao sana,
Haya ni maoni yako, usilazimishe watu wote wawaze kikasuku kama wewe.Binafsi namkubali sana FAIZA FOXY nikikutana na comments zake lazime nitulie kidogo...ama kweli ni gwiji,celebrity au mtu wa ukweli ndani ya JF anaebisha na abishe
Ebu fafanua kijana... umejiandaandaaje?Wanasema maumivu ya kichwa huanza polepole, Nilikuwa simpendi huyu mwanamke, lakini sasa bila kumuona nakosa raha kabisa nahisi namuogopa au nampendea sana.. lakini kiukweli nafurahia uwepo wake.. Ninge m-pm lakini najua kuna watu kama mimi walisha wahi kuwachukia watu then wakaja kuwa ni wapendwa wao sana,
Ebu fafanua kijana... umejiandaandaaje?
una mashetaniwanasema maumivu ya kichwa huanza polepole, nilikuwa simpendi huyu mwanamke, lakini sasa bila kumuona nakosa raha kabisa nahisi namuogopa au nampendea sana.. Lakini kiukweli nafurahia uwepo wake.. Ninge m-pm lakini najua kuna watu kama mimi walisha wahi kuwachukia watu then wakaja kuwa ni wapendwa wao sana,
Wanasema maumivu ya kichwa huanza polepole, Nilikuwa simpendi huyu mwanamke, lakini sasa bila kumuona nakosa raha kabisa… nahisi namuogopa au nampendea sana.. lakini kiukweli nafurahia uwepo wake.. Ninge m-pm lakini najua kuna watu kama mimi walisha wahi kuwachukia watu then wakaja kuwa ni wapendwa wao sana,
Hata yeye FAIZA FOXY kasema ananipenda sana, usiku halali ananiota mimi. Akifungua kitabu chake chenye maandashi ya Kiarabu, anaona kuanzia sura ya kwanza hadi ya mwisho jina langu tu
Haya ni maoni yako, usilazimishe watu wote wawaze kikasuku kama wewe.