Nampenda FaizaFoxy

Nampenda FaizaFoxy

Mi nampenda anavyoandika kiswahili, na ana macho mazuri kwa mujibu wa Avata yake. Ila simpendi kwa sababu ya UDINI uliomjaa toka kichwani mpaka miguuni. BTW: NI MAMA NA MWALIMU MZURI KWETU SISI.............. Long live FF😛oa

Ahsante kwa sifa zote njema, halafu kiswahili ndio niko very weak, loh, sijisifu lakini kiswahili hiki si cha kusoma ni lugha mama. Mimi nilisoma shule zinazofundisha Kiingereza, na huko ni mzuri sana kuliko Kiswahili.

Kuhusu hilo la udini, ni sifa kubwa sana kuambiwa mdini kuutetea Uislaam wangu nashangaa Muislaam anapoipenda dini na kuitetea dini yake anaitwa mdini lakini Nyerere anapotaka kupewa utakatifu anakuwa sio mdini! Umeshajiuliza hilo? Faiza akivaa hijab mdini, wale ma nun wakivaa hijab wanakuwa ni wadini pia?I
 
huwa nikimwona FaizaFoxy moyo unakuwa na raha sana.unanikumbusha shangazi yangu anaitwa faiza ana ujuzi na majibu mazuri kama yako.huwa najiuliza asijekuwa ni shangazi yangu yupo jF.
 
Ijumaa Karim
minal faidhina bi dada,mimi nampenda sana FAIZA FOXY,ila nogopa kumwambia kuwa nampenda atanipelekesha ile mbaya,ila Faiza Foxy umelog in katika moyo wangu kwa ujasiri wako wa kubishana na hata watu 1000,ubarikiwe sana bi dada.Nalog off
 
Wanasema maumivu ya kichwa huanza polepole, Nilikuwa simpendi huyu mwanamke, lakini sasa bila kumuona nakosa raha kabisa… nahisi namuogopa au nampendea sana.. lakini kiukweli nafurahia uwepo wake.. Ninge m-pm lakini najua kuna watu kama mimi walisha wahi kuwachukia watu then wakaja kuwa ni wapendwa wao sana,
Umevutiwa naye kimapenzi ama kihoja?

Hivi utampenda vipi mtu usiyemjuwa?
 
minal faidhina bi dada,mimi nampenda sana FAIZA FOXY,ila nogopa kumwambia kuwa nampenda atanipelekesha ile mbaya,ila Faiza Foxy umelog in katika moyo wangu kwa ujasiri wako wa kubishana na hata watu 1000,ubarikiwe sana bi dada.Nalog off

Ahsante kwa kunipenda, wala usikwazike siwezi kukukwaza, nawapenda wanichukiao seuse wanipendao, Log in.
 
FF is a toothless dog! I hates this creature, God forbid

Mimi hata kama unanichukia inabidi nikupe darsa dogo hapa la Kiingereza; Kama Kiingereza kinakupiga chenga si ungeandika Kiswahili tu, unakuwa kama Sugu?

Badala ya "hates" hapo ungetumia "hate" inge "sound proper, grammatically".

Halafu hapo mwanzoni ulipotumia "toothless dog" umekosea na sentensi yako inakuwa "contradictory" kwani hicho kinamaanisha ni "harmless" hakina meno, na wewe unakichukia, mara nyingi hicho kinafaa kionewe huruma na huwezi kutumia kwenye lugha ya kuchukia kitu ambacho hakina madhara, hapo inaonesha kuwa amma huijuwi lugha ya Kiingereza vizuri au unapingana na nafsi yako.

Bado unanichukia tu hata baada ya kukupa huu uelewa uliokuwa haunao kabla ya kusoma hapa?
 
huwa nikimwona FaizaFoxy moyo unakuwa na raha sana.unanikumbusha shangazi yangu anaitwa faiza ana ujuzi na majibu mazuri kama yako.huwa najiuliza asijekuwa ni shangazi yangu yupo jF.

Shauri yako. JF hii, kuna mtu kisha mtongoza binti yake humu kwa pm.
 
Mie nawashangaa nyie mnaohojihoji sana kama vile hamfundishwi "upendo"?
Faiza hivi kweli wewe una upendo?

Ama kiswahili kigumu jamani.

Usinifanye niende kukuletea ile ya "Wajawazito wapigwe mabomu" Halafu ukadai watoto wao watazaliwa machizi.

Ebu nieleze upendo upi?

Ama unazungumzia ufanyaji mapenzi?
 
Mimi hata kama unanichukia inabidi nikupe darsa dogo hapa la Kiingereza; Kama Kiingereza kinakupiga chenga si ungeandika Kiswahili tu, unakuwa kama Sugu?

Badala ya "hates" hapo ungetumia "hate" inge "sound proper, grammatically".

Halafu hapo mwanzoni ulipotumia "toothless dog" umekosea na sentensi yako inakuwa "contradictory" kwani hicho kinamaanisha ni "harmless" hakina meno, na wewe unakichukia, mara nyingi hicho kinafaa kionewe huruma na huwezi kutumia kwenye lugha ya kuchukia kitu ambacho hakina madhara, hapo inaonesha kuwa amma huijuwi lugha ya Kiingereza vizuri au unapingana na nafsi yako.

Bado unanichukia tu hata baada ya kukupa huu uelewa uliokuwa haunao kabla ya kusoma hapa?

Hah hah wengine wanakuita mwalimu.
 
Faiza hivi kweli wewe una upendo?

Ama kiswahili kigumu jamani.

Usinifanye niende kukuletea ile ya "Wajawazito wapigwe mabomu" Halafu ukadai watoto wao watazaliwa machizi.

Ebu nieleze upendo upi?

Ama unazungumzia ufanyaji mapenzi?

Naomba kailete na kwanini hao walioanzisha fujo wakakimbilia Hospitali ndio wao wanaupendo? Walikuwa hawajui kuna watoto na wajawazito mule? Halafu zile zote zilikuwa ni "propaganda". Kumbuka, huwa sidanganyiki na kauli kama zile ambazo hutumika kwenye machafuko ili zipate kuchota hisia za watu ili Serikali wanaotuliza zile fujo waonekane ni wanyama, labda uwadanganye wengine, mimi dunia nimeiona zamani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom