Nampenda FaizaFoxy

Nampenda FaizaFoxy

nitaridhika kumuona tu litakuwa kama Bonge la show.....

Ukitaka kuniona mbona sahali (rahisi) sana, nilishawahi kuwaelekeza humu namna ya kuniona, ulikuwa hujaisoma hiyo post< ngoja bujibuji aje kukumbusha.
 
Nimefurahi sana kwa kuwa umenipenda baada ya kunichukia, inaonesha kuwa u binaadam wa kiwango cha juu. Zidisha kunipenda na usingoje nami nikupende ili unipende, ukipenda wewe penda tu. Ahsante kwa kunipenda.

Bora umekuja mwenyewe maana watu wameanza kubishana kuwa wewe ni "me"
 
Ukitaka kuniona mbona sahali (rahisi) sana, nilishawahi kuwaelekeza humu namna ya kuniona, ulikuwa hujaisoma hiyo post< ngoja bujibuji aje kukumbusha.

Nimefanya zaidi mara tatu vile ulivyotuelekeza lakini sijakuona!
 
Wanasema maumivu ya kichwa huanza polepole, Nilikuwa simpendi huyu mwanamke, lakini sasa bila kumuona nakosa raha kabisa&#8230; nahisi namuogopa au nampendea sana.. lakini kiukweli nafurahia uwepo wake.. Ninge m-pm lakini najua kuna watu kama mimi walisha wahi kuwachukia watu then wakaja kuwa ni wapendwa wao sana,

Mavazi ya kike, sura dume??? umejiandaaandaaje??? Cameroon style au???

 
Mi nampenda anavyoandika kiswahili, na ana macho mazuri kwa mujibu wa Avata yake. Ila simpendi kwa sababu ya UDINI uliomjaa toka kichwani mpaka miguuni. BTW: NI MAMA NA MWALIMU MZURI KWETU SISI.............. Long live FF😛oa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom