Nampenda boss wangu aliyeniajiri

Nampenda boss wangu aliyeniajiri

Hapa ndipo watz tunapo fail,Kamwe usichanganye mapenzi na kazi yani bora huyo Dada angekuwa anafanya kazi ofisi nyingine.Ebu fikiria kwanza usifate mihemko jiulize Je,siku tukiachana nafasi yangu kazini itakuwa salama? Automatically nafasi yako itakuwa mashakani so think twice.
 
wacha tamaa dogo....... unapenda mdondo sio a.k.a kulelewa...wacha hizo...
 
HR kirefu chake ni Human Resource = Rasilimali watu sasa sijui huyo ni mtumishi mwenzio au HR kivipi maana watumishi wote wanaitwa Human Resource, Personnel, Manpower na majina kede kede, kuwa wazi huyo Human Resource Officer, Human Resource Manager, Human Resource Director au?!
 
Mkuu kabla hujafikisha ujumbe,tafuta kwanza kazi sehemu nyingine kama back up.
 
we mgeni na mapenzi na ukipata challenge utateseka sana, wala huyo mwanamke hakupend hayo mazingira yasikuchaganye yachukulie kawaida wanawake ndivyo walivyo, we chapa kazi kwa bidii maku zipo kibao na usiwe kinganganizi.
Tafuta mwanamke mwingine na fanya jitihada afahamu kuwa unamwanamke, response atakayoionyesha itajulikana kama anakupenda kweli au laa. akikasirika jua alikua na mipango na wewe na hata kama alikua na mipango na wewe haimaanishi itadumu forever, kwa kua kashikilia usukani we temana nae ukiona anajileta sana mwambie siku mkigombana kibarua chako kitakua katika hali gani?
wanawake hawatabiriki ndugu yani kila kukicha wana stail mpya.
Mfano uke akichuchumaa upo chini, akiinama upo nyuma, akilala chali upo mbele, akitembea upo chini akiweka miguu juu upo juu, akikaa upande na uke pia unakua upande so kuwa makini ndugu we achana nae jikaze hisia zako kiume ikishidikana kamalize hata haja zako kwa punyeto au malaya kabisa ila utumie condomu
 
Niliwahi kuhis mtoto wa jaji mkuu wa Tanzania mstaafu ananipenda, kwa jinsi alivyokuwa muda wote niwe naye, tulivokuwa tunawasiliana n.k mi nikajipinda kumwambia!!!! Weewwew mpk Leo najuta, hatuelewani KBS, aliniambia kwa upole X mi nilikuchukulia kama kaka , sasa unafanya nini hiki!!! Sitaki kukumbuka tena.

Mwache atajilengesha mwenyew
 
Hii story nnaikumbuka sana . N Love Story ya kihindi ya Miaka ya 90's
 
Nitalifanyia kazi mkuu.
.Acha kabisa kufanyia kazi huo upuzi Mkuu
.Mweshimu sana basi wako hata kama mnalingana
.Kuna hatari wawezatimuliwa kazi kwa tamaa ya mwili
.Wanawake wapo wengi tafuta hata mfanyakazi mwenzio
.ukimtokea akikataa akakutumua utamlaumu nani?
BUILD UP YOUR MINDS AND MAKE A RIGHT DECISION FOR YOUR FUTURE.. GOODLUCK
 
Kuwa Na subira mkuu boss hatongozwi subir afunguke mwenyewe kama ilivyo nitokea mie ha ha ha
 
we mgeni na mapenzi na ukipata challenge utateseka sana, wala huyo mwanamke hakupend hayo mazingira yasikuchaganye yachukulie kawaida wanawake ndivyo walivyo, we chapa kazi kwa bidii maku zipo kibao na usiwe kinganganizi.
Tafuta mwanamke mwingine na fanya jitihada afahamu kuwa unamwanamke, response atakayoionyesha itajulikana kama anakupenda kweli au laa. akikasirika jua alikua na mipango na wewe na hata kama alikua na mipango na wewe haimaanishi itadumu forever, kwa kua kashikilia usukani we temana nae ukiona anajileta sana mwambie siku mkigombana kibarua chako kitakua katika hali gani?
wanawake hawatabiriki ndugu yani kila kukicha wana stail mpya.
Mfano uke akichuchumaa upo chini, akiinama upo nyuma, akilala chali upo mbele, akitembea upo chini akiweka miguu juu upo juu, akikaa upande na uke pia unakua upande so kuwa makini ndugu we achana nae jikaze hisia zako kiume ikishidikana kamalize hata haja zako kwa punyeto au malaya kabisa ila utumie condomu
Kaka, badilika. Haya maneno si njema.
 
Hahahahahah
 
Himili muhemuko wako mkuu...usikubali kuendeshwa na hisia zaweza kukuharibia ugali wako.
 
Back
Top Bottom