Duh! JF raha sanaAnza na dinner mengine yatajipa menyewe mtajikuta tu shetani kawapitia mpo kitanda kimoja kama mlivyotoka kwenye matumbo ya mama zenu
Mkuu ukisema(ga) fisi maji na [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sanaaaSijui uhalisia wa hii post lakini kama kuna kosa kubwa utafanya katika maisha yako ni hilo unaloliombea ushauri
-anaweza kuona dalili na akatia timu lakini kubali kifuatacho ITV
-anaweza kuwa mweledi na mwenye msimamo akakufukuza kazi
-anaweza kuwa ni fisi maji ukaishia kuumia
Epuka mahusiano na mtu anayekulipa mshahara
Hii point haswaaa! Ofisini kuna utani mwingi sana. Unaweza ukachukulia srrious kumbe mwenzio wala hayupo huko.unajihisi tu hakupendi kimapenzi wala nini hayo maswala ya kawaida kutaniana ofisini
duh nimecheka sana kweli wewe ni janga la kitaifa eti shetani atafanyeje....Anza na dinner mengine yatajipa menyewe mtajikuta tu shetani kawapitia mpo kitanda kimoja kama mlivyotoka kwenye matumbo ya mama zenu
Kwa kifupi, akubali kifuatacho ITV..........Sijui uhalisia wa hii post lakini kama kuna kosa kubwa utafanya katika maisha yako ni hilo unaloliombea ushauri
-anaweza kuona dalili na akatia timu lakini kubali kifuatacho ITV
-anaweza kuwa mweledi na mwenye msimamo akakufukuza kazi
-anaweza kuwa ni fisi maji ukaishia kuumia
Epuka mahusiano na mtu anayekulipa mshahara
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwa kifupi, akubali kifuatacho ITV..........
Kuna nyakati kwenye maisha yetu...tunatakiwa kutambua namna ya kudeal na hisia zetu......hasa katika mazingira ambayo si muafaka kwa hilo unalotaka kulifanya......,
Na njia muafaka ya kudeal na hali hiyo na kuangalia ni kuangalia hasara na madhira ya wewe kutenda hilo ambalo hisia zako zinakutuma kulifanya........
Hisia za matamanio ni za kawaida kwa kila mwanamume aliye kamirika.....lakini si lazima kukidhi kila haja za matamanio hayo.......na huo ni ukomavu wa kiume......
Unatakiwa baadhi ya mambo uyapuuzie kwa manufaa ya mambo mengine muhimu zaidi kwenye maisha yako.......
BE A GENTLEMAN......