Nampenda boss wangu aliyeniajiri

Nampenda boss wangu aliyeniajiri

Kuna siku alimfanyia suprise mfanyakazi mwenzetu katika siku yake ya kuzaliwa akaandaa kapart kadogo tu kwake, akanipigia simu nifike kwake, nikaenda pia wafanyakazi wenzangu nao walijulishwa na kufika, wakati wakupiga picha nikapiga nae nilikuwa na glass ya wine nikwambia au nikunyweshe wakati tunapigwa picha akasema wewe tu akawa amenishika kiunoni hisia zilinipanda ghafla mkuu nikataka kumweleza
toobaaa yarabi,
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hii revolution of industry ...itasubiri xna bongo
 
strictly siku mkiwa katika mazingira nje ya kazi tu : kaa nae karibu sana ukiwa na harufu nzuri kisha lete stori kibao za kawaida huku ukimtazama kwa kuibia ibia kila mahali hasa machoni na vifuu kisha katikati ya mazungumzo muulize anapenda mwanaume wa aina gani, then cheki hizo sifa kama ni zako! muulize kama ana mtu, mwambie unatafuta mchumba wa kuoa si kuchezea wadada wa watu ( hii ni gia namba tano kama anakupenda atapoteza mwelekeo! ) na taja sifa zake zote na umwambie kuna mdada ofisini unampenda kufa ila unaogopa kumwambia mwenye hizo sifa ( taja physical appearance yake , rangi ya ngozi yake , aina ya macho yake , elimu, aina na rangi ya mavazi yake), muulize maisha yake , hobby zake , nk, kisha mkaribishe aje kwako jumamosi mshinde siku nzima mpike pamoja muda mrefu na kufurahi , akiwa anapata kinywaji mtanie kwa kuinua glasi yake na kumnywisha! mtanie mwambie akupe simu yake usome msg zake, mtanie mwambie akutumie picha zake nzuri nzuri! akiwa positive na mambo ya utani mfano kukutumia picha, kukupa cm yake ujue anakuzimia! jioni akitaka kuondoka mwambie alale kiutani! kama ni wako atatulia kama maji ya mtungini! kamwe usimwambie boss wako unampenda kama hakupendi kimapenzi kazi huna! chezea pesa usichezee kazi! ukiwa nae usijisifie chochote jioneshe ni mtu wa kawaida tu , we mfanyie vitendo tu ajiingize mwenyewe mtegoni na kuwa mtumwa wako!

Hahahahaha you are a professional!
 
Habari za jioni guys,

Tafadhari naomba mnisaidie katika ili, naomba niseme wazi mimi siyo timbulo.

Miezi mitatu iliyopita nimeajiliwa na kampuni moja hivi hapa mjini, hiyo kampuni ni ya wahindi na huyo dada ndo HR wa hii kampuni. Baada ya kuajiliwa nilimtumia ujumbe (txt) kumshukuru kwa kuona mimi naweza kufanya nao kazi, akanijibu kwa text akinileza ni jambo la kawaida katika maisha kikubwa ni focus kwenye kazi.

Katika mazingira ya kawaida nimejikuta naanza kumpenda kimapenzi na ninahisi hata yeye ananipenda pia, kwanini nasema na yeye ananipenda pia? Kuna siku tulikuwa na event hapa ofini kwetu mialiko ikatolewa kwa watu mbalimbali na nikamwalika rafiki wangu mmoja wa kike siyo mpenzi wangu wakati wa hafla ikiendelea nilikuwa na huyo rafiki yangu muda mwingi akanifata na kuniuliza mbona umemganda sana huyu dada, kuna mfanyakazi mwenzangu wa kike akamjibu ni wifi yetu huyo, akajibu muwe mnasema jamani akaondoka.

Kesho yake ofisini ikawa story kuhusu mimi na huyo wifi yao waliyenipatia.

Siku nyingine ikatokea safari nje ya mjini ya siku mbili tukatoka mimi, yeye na dereva jioni sasa wakati wa kutafuta hoteli ya kulala, bahati mbaya hotel tulipoenda tukakuta nafasi moja tu yeye akaichukua mimi na dereva tukaenda kutafuta mahali pengine tukaagana turudi pale tukishapata ili tukale chakula pamoja tukakubaliana hivyo.

Muda mchache akanipigia simu akakuta simu inatumika naongea na mtu, baada ya kukata akanipigia tena na akaniuliza ulikuwa unamuaga wifi nini? Na siyo mara moja kuniuliza hivyo nikamjibu mimi nipo single akacheka akaniuliza mmepata room nikamwambia yah! Akasema mje basi.

Nisiwachoshe ni mambo mengi sana, naomba mnisaidie ni jinsi gani ya kumfikishia ujumbe kuwa nampenda maana naogopa maana naweza kumweleza hilo jambo likazua mambo mengine mabaya maana natafuta maisha, niliwahi kumwalika chakula cha jioni akaniambia amechoka siku hiyo ana kazi ya ufuaji hivyo haitowezekana kwa siku hiyo

Uwa nachat nae na kumpigia simu nikitaka kuongelea hayo mambo uwa ananirudisha kwenye maswala ya kazi hata kama hamko kazini

Kuna siku nikamtext wasup kuwa kuna zawadi nimekununulia akataka kuijua zawadi nikamwambia no utaijua siku nikikupatia akasema poa!

Na uwa ananiambia anajua kupika sana, nikamuomba apike siku moja anialike akasema atapika siku ya kuzaliwa kwake na atatualika staff nzima nikamuuliza itakuwa lini? Hakuniambia akasema ni suprise, sasa nikawaza niifanye siku hiyo ya kumweleza hisia zangu kwa kumpelekea zawadi itakayokuwa inasema hisia zangu kwake je ni ipi wadau nisaidieni nampenda sana.

Kwa maelezo haya kama na yeye anasoma humu JF basi ujumbe utakuwa umemfikia!
 
Kila siku mualike dinner mpk atakapokubali, na siku akikubali usimwambie hisia zako ila mkiwa mnaagana mwambie uwepo wake umekutengenezea pepo maana utapata njozi njema na usifafanue!Kesho asubuhi mwambie usiku ulikuwa mrefu kama mwaka (kwenye salamu zako kwake), jioni mualike tena mwambie kula nae dinner inaongeza ladha mnoo, akikataa poa!Hiyo inaitwa kufungua milango kama anakupenda atafurahia kila mualiko na ipo siku atafunguka mwenyewe maana ushapull the trigger na kama hakupendi kimapenzi atakereka. Then utajiongeza
 
Watu na utaalamu wao [emoji28]
 
Huyu ana ku study tu akili yako jinsi ulivyo boguz yaani ye yupo friendly kikazi ila wewe unawaza ngono mjomba..duh!
 
mbona mrhs huyo dogo tatizo lako unawaza jinsi ya kumuambia nakupenda na mwanamke mtu mzima aambiwi nakupenda...achana na vizawadi mchwara utakosa demu..jifunze kuchombeza dogo lasivyo kupata demu ni ngumu.
 
Mkuu achana na hizo mambo kumbuka ww unatafuta maisha so concentrate na kazi,kama atajaa mwenyewe ndo uchukue mzigo ila kama utajitosa jipange kwa majibu ambayo yatakua negative
 
Sijui uhalisia wa hii post lakini kama kuna kosa kubwa utafanya katika maisha yako ni hilo unaloliombea ushauri
-anaweza kuona dalili na akatia timu lakini kubali kifuatacho ITV
-anaweza kuwa mweledi na mwenye msimamo akakufukuza kazi
-anaweza kuwa ni fisi maji ukaishia kuumia
Epuka mahusiano na mtu anayekulipa mshahara
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mshana umemaliza kabisa uu ndo ushauli akiendekeza hisia zitaja mtokea puani
 
Mkuu achana na hizo mambo kumbuka ww unatafuta maisha so concentrate na kazi,kama atajaa mwenyewe ndo uchukue mzigo ila kama utajitosa jipange kwa majibu ambayo yatakua negative

Kazi na dawa. Tena akifanikiwa kumla HR ana uhakika wa ajira yake. Ila tu ajue kwamba akila kisha akaasepa, kazini atapaona pachungu!
 
Nishawahi jihisi hivyohivyo miaka kumi na moja iliyopita mwisho wa siku nikaambulia cha mbavu,sina hamu na yule mwanamke walahi.
 
Ndugu yangu wacha ujinga huo. Umeanza kazi unaingilia mambo yasiyokuhusu. Mapenzi unayotafuta yanaweza kuwa majuto
 
Sehem ya kaz si vizuri kuwa na mahusiano ya kimapenzi ktk kazi yan sana sana utakuja kuona kaz mbaya baadae maana mkigombana tu bhas lazma hata staff wenzio watajua tuu
 
Back
Top Bottom