Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,549
Kufuatia tamko lake la juzi kuwa makomando ya katiba ni kinyume na sheria kwamba ni haramu, ninapenda kusema sasa tutakutana mahakamani ili aje kutoa kutoa tafsiri hiyo mahakamani mbele ya wanasheria pamoja na hakimu.
Hii tabia ikiachwa ikaendelea kwa viongozi wa aina ya huyu RPC kuendelea kusumbua raia ambao wanafanya shughuli zao za kikatiba atazuea vibaya.
Kama haelewi sheria tutafundishana mahakamani.
Ninaomba wanasheria makini walio tayari na wanachukizwa na kitendo cha huyu RPC waambatane na mimi kwa ajili ya hili suala.