Namna ya kuwaona wachawi kwa kutumia Kisamvu

Mimi mbona sivion Ni kwamba wewe Ni MCHAWI au mlokole MWENYE hofu ya Mungu cariha
Mkuu husali tu kawaida tangu utotoni nilikuwa naona hivo vitu aisee Hadi maza jirani mwanga alikuwaga ananivhukua kwake kila akitaka kunikata ulimi wangu ulimi unateleza anashindwa mpaka nimekuwa Kuna ntu aliniombea nisiwe naona ila baada ya mda business as usual. SEMA kuona hivo huleta shida sana bana.
 
ni kutafuta matatizo tu unapolazimisha kitu kufanya kazi zaidi ya uwezo wake

Sasa kama macho yameshindwa kuona katika hali yake ya kawaida kwann uyalazimishe kufunguka zaidi ya hapo
Ukiwa na roho ya kishirikina utatamani uone hata vile ulivyowekewa mipaka.

Ni kutosheka tu, ukitosheka hautateseka
 
Duu! Hayo masharti kazi kwelikweli! Yaani hujawahi muona mchawi alafu siku ya kwanza kumuona usishtuke!
Aisee hapo i lazima utatoka mbio ndefu!
 
Hii ilishamtokea shemeji yangu alikuwa anatisha kwa uganga eneo flan.akawatibu watu waliologwa.wale wachawi wakachukia wakaanza kumkalia kuanzia kikao cha kata mpaka cha kitaifa ndio wakumuweza.sikuamini kwa jinsi nilivyokuwa naujua ujuzi wake.wakawa wamempofusha kichawi.alikaa miezi 2 bila kuona.mizimu yake ikaanza kumponyesha kupitia wateja anavyowapa tiba ndio huo mchanga wa kichawi machoni ukawa unadondoka.hatimae akaona.wale wachawi wa kijiji hicho waliomkalia kamati walivyopata taharifa wakakimbia akabaki 1.alianza kufa mmoja mmoja mpaka Leo nauogopa uchawi.uchawi ni kitu kimoja hatari sana.haijalishi upo umbali gani anakufanyizia tuu.wengine hata uwe na kinga wanakupiga tuu,huwa ni hesabu tuu.hvyo usitake kuwafukunyua hawa watu,hawanaga dogo.watayaharibu maisha yako yote yawe ya laana
Ni kumcha Mungu tu.
 
Mkuu kusema mzizi wa kisamvu ni chakula na shina ni kuni, utakuwa 'umebonyeza sana' bhana!

Aseme kwa kushuhudia aliyekwisha kula mzizi wa kisamvu na akapikia matawi yake hadi kuivishia chakula mf: ugali!
Akili huna wewe
Akili anazo.
Kwanza kuna tofauti ya mti wa kisamvu na muhogo.
Angesema majani ya muhogo, mti wa muhogo na mzizi wa muhogo.
Lakini mzizi wa kisamvu ni sumu, hauliwi.
 
Nilijua umeshafanya na ukawaona hao wachawi, kumbe unasubiri mrejesho wakati wewe ndiyo umetoa mbinu ya kuwaona wachawi!!! Bila shaka kuna Shehe au mtu amekusimulia au kuna mahali umecopy.
Kacopy Fb group inaitwa tiba asili
 
Back
Top Bottom