Namna ya kuwaona wachawi kwa kutumia Kisamvu

Dah Mimi sipendi hyo hali naona ndio na hushindwa kunifanya kitu shida nikuanza kukuchukia bila sababu na kueneza sumu kwa watu za uongo, na wengi hufikiria nimechanjwa kumbe ndio nilivo zaliwa tangu utoto na sijawahi chanjwa, watu huniambia macho yako hayo sio mazuri kuona loh
cariha interesting Sana... Ukamwambia tulia wewe..
 
Si kisamvu tu hata ukikaaa chini ya mti wa muhogo, hakikisha kuwe na umande, niliwahi kujaribu ila kadri masaa yanavyosogea hofu inaongezeka ( hapo sjaanza kuona mauza uza)....Wenge likanifanya nikimbie..Sijajaribu tena.
Siku nikienda Bariadi nitaijaribu hii. Litakalonipata lawama zote kwako
 
32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom