Kwakweli mkono mtupu haulambwiWewe akikutusi mpe pesa tu, akikusonya mpe pesa na Sema mpe Kama hata kukubali
Ha ha haa!Tunzma mshahara wako ununue walau Brevis hutosimulia tena hizi dhiki sana utaanza kuulizia dalili za ngoma ni zipi?
Kaka, wadada Wa enzi zetu wanataka wenye fedha.Sisi 20'''s hawatutaki maana wanajua bado hatuna pesa, upo kama Mimi yan.Napiga nyeto tuu ndo msaada wangu Wa ajabu na NAISHUKURU SANA NYETO, LA CVYO PUMBU ZANGU ZINGESHAPASUKA KWA GANZI.CHENGA SANA YAN.Habari zenu jamani,
Hii sio mara ya kwanza kuja kuleta thread hapa kuhusu hili swala langu.
Mimi ni kijana umri wangu ni 27, naishi hapa Dar es Salaam ambapo nimeajiriwa katika taasisi fulani hivi, kipato changu si kikubwa na wala si kidogo sana. (angalau kinanisaidia kuishi, japo nipo kwenye nyumba ya kupanga).
Sasa jamani mi niko single mwaka wa tatu huu kutokana na jitihada zangu za kutafuta mwenza kugonga mwamba, nimeshatongoza waschana 17 mpaka sasa lakini kila nnayemtongoza ananambia "mi nina mtu wangu, tunapendana sana". Nikimforce basi naishia kublockiwa na simu yangu haipokewi inakatwa fasta na kuna wawili kati ya hao wamenitukana.
Sasa najiuliza ina maana single ladies hakuna? Na kama wapo mbona mimi sijawahi kukutana nao?
Wanaume wenzangu na hata wanawake jamani hebu nisaidieni namna na kumtambua single lady maana nimechoka kukaa peke yangu nahitaji mwenza, angalau nikiweza kumtambua na kubaini single girls wanakopatikana labda nitazungumza nae na atanisikiliza.
Nawasilisha kwenu.
Kazisome vizuri hizo thread usikurupuke mkuu.
Mi namsomesha mdogo wangu, mambo yote hayo niliuliza kwa ajili ya mdogo wangu. Kama hujazielewa nakuomba ukazisome tena sio kukurupuka tu
Ilikuwa thread yangu kabisaa lakini mimi nimemuwakilisha mdogo wangu nnaemsomesha.Au haikua thread yako?![]()
Umenielewa vizuri tu huwezi kuwa mtaka kuoa na sifa zinazotosha pakubwa kama ulivyoziainisha ukakosa mke kati ya mara 17 zote ambazo ni nyingi sanaSijakuelewa brother
Tafuta mdada anaitwa kihuba humu jf na yeye anatafuta mchumba kwa muda mrefu sasa bila mafanikioMkuu kila nikijaribu kubembeleza napuuzwa nikiomba appointmnt naambulia tusi au sonyo
Bora umemwambia kijana wa watu huu ndo ukweli jomoni!hahah eti chachacha umechekesha sana.Wavulana wa mikoani lazima tu mtakiri udhaifu wenu ili watu wa mjini tuje kuwatoa matongotongo. My son, huku mjini wadada wanaangali muonekano kwanza (kiatu, perfume, saa, mkanda, shati, suruari na sura) fanyia kazi kwanza hilo eneo. Usije uka mu-approach demu umetupia suruali yako ya njano na shati lako jekundu chini umepiga chachacha huku unanuka kikwapa lazima uambiwe upate hayo majibu ata kama demu yuko desparate lazima akuzingue.
Haya yote nilishawahigi kuyafanya ni kama ya ziada tu hayana umuhimu nimefatilia wanawake wengi siku hizi wanatoka na watu ambao hawana swagz kabisa kikubwa mpesa ifanye kazi ukiongeza na gari la mizunguko ya hapa na pale mjini nafikiri mtoa mada anahitaji dem sio mke ndio mana anapata shidaWavulana wa mikoani lazima tu mtakiri udhaifu wenu ili watu wa mjini tuje kuwatoa matongotongo. My son, huku mjini wadada wanaangali muonekano kwanza (kiatu, perfume, saa, mkanda, shati, suruari na sura) fanyia kazi kwanza hilo eneo. Usije uka mu-approach demu umetupia suruali yako ya njano na shati lako jekundu chini umepiga chachacha huku unanuka kikwapa lazima uambiwe upate hayo majibu ata kama demu yuko desparate lazima akuzingue.
Wakuu huyu jamaa toka mbwinde akifuata ushauri wenu lazima aupoe mchumba mzuri na kuachana na uanachama wa chaputaWeka namba yako watakutafuta... chunga usitapeliwe🙄🙄
Wavulana wa mikoani lazima tu mtakiri udhaifu wenu ili watu wa mjini tuje kuwatoa matongotongo. My son, huku mjini wadada wanaangali muonekano kwanza (kiatu, perfume, saa, mkanda, shati, suruari na sura) fanyia kazi kwanza hilo eneo. Usije uka mu-approach demu umetupia suruali yako ya njano na shati lako jekundu chini umepiga chachacha huku unanuka kikwapa lazima uambiwe upate hayo majibu ata kama demu yuko desparate lazima akuzingue.
Hahahaahaaaaaaaa ametishaWavulana wa mikoani lazima tu mtakiri udhaifu wenu ili watu wa mjini tuje kuwatoa matongotongo. My son, huku mjini wadada wanaangali muonekano kwanza (kiatu, perfume, saa, mkanda, shati, suruari na sura) fanyia kazi kwanza hilo eneo. Usije uka mu-approach demu umetupia suruali yako ya njano na shati lako jekundu chini umepiga chachacha huku unanuka kikwapa lazima uambiwe upate hayo majibu ata kama demu yuko desparate lazima akuzingue.