Namna ya kutambua 'single girls'

Namna ya kutambua 'single girls'

Mkuu kila nikijaribu kubembeleza napuuzwa nikiomba appointmnt naambulia tusi au sonyo
Muonekano wako, mavazi, level yako inaendana na unao wafuata? Pia uwezo wako wa kureason huwa wasichana wanatabia yakupima uwezo wako Kwanzaa unapo ongea naye kwa mara ya kwanza.. Pia jiweke kijentomen sana.. Usikute huna swagz ndio maana wana kuona wakuja . Kipindi cha kutafuta mchumba ni kipindi cha usafi wa mwili mavazi na kujua aina ya msichana umtakaye.. Na eneo rasmi la kutega
 
Akili yangu inaniambia hujajua kutongoza....
Au,
Huna tabia inayokubalika na jamii mtaani kwako au kazini kwako.....
Au,
Hauko serious na hitaji la kuwa na MKE

Hata hivyo,
Jambo la msingi siyo kumtambua single girl. Ila ni kumtambua "right girl"
Mkuu sasa huyo right girl akikwambia ana mtu wake, ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
Pole sana mkuu, ila nikwambie tu ujue, kwa umri wako huwezi pata single girl , kwasababu hawapo kabisa, hakuna mwanamke ambaye ana umri kuanzia miaka 20 akawa hana mwanaume,

wewe chakufanya nikutumia kila jitihada umpokonye mtu girl wake awe wako, lakini ukisema eti unatafuta ambaye yupo single, utasubiri sana, labda uende kwenye ma boma ya wamasai ndio unaweza pata single girl, ila sio huku uswahilini kwetu ndugu
 
Au hii msg ni mwk 1990 imekawia kufika? Miaka hii utongoze wasichana 17 Hamna wote wengine wanaishia kukutukana? Au unatumia old syllabus ya kutongoza, mi sikumbuki Mara ya mwisho kuzinguliwa na demi @ nikitongoza nawagegeda na wananilazimisha niwaoe, badilika dogo
Mimi nina 32 ila sijafanikiwa kutongoza zaidi ya mara 6 wewe unaonekana umewekeza kwenye ushairi wa kutongoza wanawake ongeza juhudi umaskini unakuotea mlangoni
 
Miaka 27, harafu kila unayemtongoza anakukataa!!!? Subili nivute ugoro nitarudi baadae kukwambia cha kufanya ila cha kwanza tafuta pesa
Kwani wanawake wanaangalia umri kaka?
 
Pole sana mkuu, ila nikwambie tu ujue, kwa umri wako huwezi pata single girl , kwasababu hawapo kabisa, hakuna mwanamke ambaye ana umri kuanzia miaka 20 akawa hana mwanaume,

wewe chakufanya nikutumia kila jitihada umpokonye mtu girl wake awe wako, lakini ukisema eti unatafuta ambaye yupo single, utasubiri sana, labda uende kwenye ma boma ya wamasai ndio unaweza pata single girl, ila sio huku uswahilini kwetu ndugu

Hebu nipe mbinu za kupokonya msichana mkuu
 
Habari zenu jamani,

Hii sio mara ya kwanza kuja kuleta thread hapa kuhusu hili swala langu.

Mimi ni kijana umri wangu ni 27, naishi hapa Dar es Salaam ambapo nimeajiriwa katika taasisi fulani hivi, kipato changu si kikubwa na wala si kidogo sana. (angalau kinanisaidia kuishi, japo nipo kwenye nyumba ya kupanga).

Sasa jamani mi niko single mwaka wa tatu huu kutokana na jitihada zangu za kutafuta mwenza kugonga mwamba, nimeshatongoza waschana 17 mpaka sasa lakini kila nnayemtongoza ananambia "mi nina mtu wangu, tunapendana sana". Nikimforce basi naishia kublockiwa na simu yangu haipokewi inakatwa fasta na kuna wawili kati ya hao wamenitukana.

Sasa najiuliza ina maana single ladies hakuna? Na kama wapo mbona mimi sijawahi kukutana nao?

Wanaume wenzangu na hata wanawake jamani hebu nisaidieni namna na kumtambua single lady maana nimechoka kukaa peke yangu nahitaji mwenza, angalau nikiweza kumtambua na kubaini single girls wanakopatikana labda nitazungumza nae na atanisikiliza.

Nawasilisha kwenu.
Mwaka Jana tu umekuja na threads za kuulizia masuala ya cause ya linguistics, masuala ya board ya mikopo (helsb) pamoja na thread ya kuulizia kuhusu kuhama chuo. Alafu saizi unasema unafanya kazi katika taasisi Fulani.

Wanaume wa dar hamuishi vituko
...
 
Ingia badoo wewe, kule kila mrembo ni single[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kazisome vizuri hizo thread usikurupuke mkuu.

Mi namsomesha mdogo wangu, mambo yote hayo niliuliza kwa ajili ya mdogo wangu. Kama hujazielewa nakuomba ukazisome tena sio kukurupuka tu
 
Msijekuwa mnataka mamiss dunia mkitegemea mtawapata mimi bado siamini kwamba mtu miaka 27 unakosa mwanamke wa kuoa ata kama pesa hauna
 
Ingia badoo wewe, kule kila mrembo ni single[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Naskia kuna machangudoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom