Habari zenu jamani,
Hii sio mara ya kwanza kuja kuleta thread hapa kuhusu hili swala langu.
Mimi ni kijana umri wangu ni 27, naishi hapa Dar es Salaam ambapo nimeajiriwa katika taasisi fulani hivi, kipato changu si kikubwa na wala si kidogo sana. (angalau kinanisaidia kuishi, japo nipo kwenye nyumba ya kupanga).
Sasa jamani mi niko single mwaka wa tatu huu kutokana na jitihada zangu za kutafuta mwenza kugonga mwamba, nimeshatongoza waschana 17 mpaka sasa lakini kila nnayemtongoza ananambia "mi nina mtu wangu, tunapendana sana". Nikimforce basi naishia kublockiwa na simu yangu haipokewi inakatwa fasta na kuna wawili kati ya hao wamenitukana.
Sasa najiuliza ina maana single ladies hakuna? Na kama wapo mbona mimi sijawahi kukutana nao?
Wanaume wenzangu na hata wanawake jamani hebu nisaidieni namna na kumtambua single lady maana nimechoka kukaa peke yangu nahitaji mwenza, angalau nikiweza kumtambua na kubaini single girls wanakopatikana labda nitazungumza nae na atanisikiliza.
Nawasilisha kwenu.