Namna ya kutambua 'single girls'

Namna ya kutambua 'single girls'

[emoji23] [emoji23] [emoji23] tumia thermometer kupima kama ni single au lah







Kumb unaweza kupma kama uyu ni single au double
 
Mimi sijakuelewa Vizuri unatafuta msichana wa kuwa rafiki wa kimapenzi tu au wa kuoa pia.Utakuwa hujui kutongoza wewe ni PM nikupe mbinu.Hayo majibu ya *nina mtu wangu* mbona ya kawaida sana,wanakuwa wanakupima kama uko serious au la.
 
we huna 27...au utakuwa boya tu....mi sitongozi na bado nawapata......we huwezi kataliwa na wote...kwanza hutakiwi kuuliza ana mtu au yuko single,...we mjali mdada ye ndo ataamua awe single umzoe mazima au la......toka lini una strugle...au ndo unatumia mbinu za 80's kutongoza....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom