Senator Hans
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 599
- 377
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Cha msingi focus kwny mambo yako watakuja wenyewe
Ukiwafata fata Ufanikiwi
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Cha msingi focus kwny mambo yako watakuja wenyewe
Ukiwafata fata Ufanikiwi
Mpya,mpe lifti yoyote utakaevutiwa naePosta sehemu gani?
Umri ni namba tu, mi Nina 38 lakin napiga mpaka teenagers, achen kusingizia umrimkuu hilo tatzo hata mm linantokea sana ila hapo nahis ni njia tu za kutukataa mm huwa naona labda ni kwa vile umri umenda mana im 30 kumbe had ww?
mkuu tupo wengi tu wanatukataa mm mwenyewe huwaga nakuaga serious kwel na huwa napendaga nipate wangu wa permanent ila huwa sipatMdau Nakushangaa Sana Na Ugumu Wote Huu Wa Maisha Mwanamke Akukatae Labda Utakuwa Mbahiri
[emoji33] [emoji33] [emoji33]Kweli dunia haina usawa hata kidogo,wakati wewe unalia unakataliwa kuna mdau aliweka bandiko hapa kila akitupia ndoano anavua tena kaenda mbali na kusema ana harufu ya nyapu.
Sasa na wewe itabidi sijui u-deal na mashoga maana wapo wengi kweli hautakosa alie single.
Aiseee mi mwenyewe nimeanza kuhisi ni njia tu ya kukataa maana kila girl nnaemgusa eti ana bwanamkuu hilo tatzo hata mm linantokea sana ila hapo nahis ni njia tu za kutukataa mm huwa naona labda ni kwa vile umri umenda mana im 30 kumbe had ww?
usiseme hvyo mkuu kama ww unabahatika kupendwa na hao watu ni jambo la kumshukuru MUNGU mm binafsi nmeangaika sana had nmeamua tu kuwa mwenyewe.Hii thread inatuzalilisha wanaume hivi miaka 27 unashindwa kupata mwanamke
[emoji23][emoji23]Wavulana wa mikoani lazima tu mtakiri udhaifu wenu ili watu wa mjini tuje kuwatoa matongotongo. My son, huku mjini wadada wanaangali muonekano kwanza (kiatu, perfume, saa, mkanda, shati, suruari na sura) fanyia kazi kwanza hilo eneo. Usije uka mu-approach demu umetupia suruali yako ya njano na shati lako jekundu chini umepiga chachacha huku unanuka kikwapa lazima uambiwe upate hayo majibu ata kama demu yuko desparate lazima akuzingue.