Okay ngoja nicheki kuna mtu ananiuzia ya mkononi na sijawahi nunua iphone nje ya maduka yao that's why naogopaIngiza imei kwenye imei.info itakupa taarifa zote za simu yako. Kama haziendani na simu yako basi jua tayari una clone.
Pia angalia kama inakubali icloud. Kama ni feki haitakubali.
fake iphone haina icloud ukifungua icloud ikanupeleka kwingine, halafu hazina apple store, ukiingia apple store inakupeleka playstore, halafu hazina find my iphone ukifungua find my iphone inakuletea kitu kama find my iphone ila ukiweka details haikubari halafu ina apple maps badala ya google maps....Wandugu naomba kujuzwa namna ya kutambua iphone fake... Clone au za akichina.
Natanguliza shukrani.
hakikisha haina icloud otherwise unaweza uziwa OG ila ikageuka kopoOkay ngoja nicheki kuna mtu ananiuzia ya mkononi na sijawahi nunua iphone nje ya maduka yao that's why naogopa
Hiyo iphone itakuwa CDMA, there is no way out zaidi ya kuwa waiconnect na wifi uka install whatsapp ukawa watumia whatsapp na viber.Msaada wadau na iPad pamoja na iphone zote azitumii lain Je?naweza zitumiaje Kwenye mawasiliano kupiga,kupokea cm na kutuma txt
Ni km frp (factory reset ptotection) kwenye simu za android au flyme account kwenye simu za meizu.icloud ndo kama gmail (google account) kwa android users au?
Ingiza imei kwenye imei.info itakupa taarifa zote za simu yako. Kama haziendani na simu yako basi jua tayari una clone.
Pia angalia kama inakubali icloud. Kama ni feki haitakubali.