Namna ya kutambua fake iphone

Hakuna iphone fake kwa sababu ya ios i.e ios haijawahi kutumika kwa simu nyingine tofauti na za apple,so lazima utaijua tu,kama ushawahi kutumia iphone
 
wadau washatolea ufafanuzi wa kutosha kabisa iphone fake utaijua tu ina miss features nyingi kama Icloud, app store, find my phone, app id na hata ukiiconnect kwenye itune inagoma.
Lakini tumia web ya IMEI.info: Online IMEI Number Checker kwa kuingiza imei number na kupata details zote za hiyo simu, kama itakataa jua hiyo ni fake.
 
Wandugu naomba kujuzwa namna ya kutambua iphone fake... Clone au za akichina.

Natanguliza shukrani.
Tuma IMEI namba yake kwenda 15090. Then hapo hapo TCRA itakutumia model ya simu na kama haioani na hiyo uliyonayo basi sio yenyewe.
 
Back
Top Bottom