Njoo kwa waziri mkuuNakutafutaa.
Walio nje ya JF hufikiri members wote wana akili timamu.tumia maji, sabuni na brash.
usitumie dawa/vidonge mana pasi haina ugonjwa.
iwashe then ikichemka pangusa na kidonge cha panadal, alafu futa na kitambaa chochote baada ya kidonge kuyeyuka, it wil be very fineHabari wana JF
Nimekumbwa na changamoto moja ya kupasi nguo zangu mwenyewe zoezi nililoliacha miaka thelathini iliyopita, nimeshika pasi naona ni chafu sana. Huko zamani kuna dawa tulikua tunaiweka alafu uchafu unatoka na yenyewe inatoa moshi mkali, sijui ni panadol au septrin ila nimesahau na ni muda mrefu. Naomba kujuzwa njia nyepesi ili niunguze nguo zangu na kuzichafua, Asanteni.
Thanks brotheriwashe then ikichemka pangusa na kidonge cha panadal, alafu futa na kitambaa chochote baada ya kidonge kuyeyuka, it wil be very fine
Asante sana MkuuWasha pasi yako (iweke kwenye umeme), ikipata moto, sugua au safisha kwa panadol/paracetamol/ sina uhakika kama kila kidonge kinafaa.
Baada ya hapo kidonge kitakua kama kinayeyuka kikitoa moshi, pangusa kwa kitamaa kuondoa huo uchafu, utaiacha pasi yako ikiwa safi.
Kwa hisani ya wahenga!
Asante sana MkuuNi panadol mkuu.
Asante sana MkuuBaking soda ndio kiboko ya uchafu wa pasi
Asante sana MkuuParacetamol au panadol.....unawasha pasi iache ipate joto la kutosha kisha chukua kidonge kishikilie kwa kitu kama katasi then unasugua mkuu
Pass ikiwa na moto sugua na chaki panadol sana harufu sanaAsante sana Mkuu
Mkuu umetisha, hadithi hiyo kakufundisha nani?We washa pasi yako weka moto mpaka mwisho then anza kuisafisha na ulimi mbona dakika tu itakuwa mbuya!!!