MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,518
- 39,096
Asante MkuuPass ikiwa na moto sugua na chaki panadol sana harufu sana
Asante MkuuPass ikiwa na moto sugua na chaki panadol sana harufu sana
Habari wana JF
Nimekumbwa na changamoto moja ya kupasi nguo zangu mwenyewe zoezi nililoliacha miaka thelathini iliyopita, nimeshika pasi naona ni chafu sana. Huko zamani kuna dawa tulikua tunaiweka alafu uchafu unatoka na yenyewe inatoa moshi mkali, sijui ni panadol au septrin ila nimesahau na ni muda mrefu. Naomba kujuzwa njia nyepesi ili niunguze nguo zangu na kuzichafua, Asanteni.
Sijajua mnaosema panadol au paracetamol mmefanya utafiti wa madhara ya moshi utoakanao na kuungua kwa kemikali hiyo ikiingia kwenye mapafu ina madhara gani? halafu kwa pasi zenye matundu ya kutolea maji chini uchafu ukishayeyushwa na kidonge hicho unajificha kwenye matundu hayo je inasaidia?Paracetamol au panadol.....unawasha pasi iache ipate joto la kutosha kisha chukua kidonge kishikilie kwa kitu kama katasi then unasugua mkuu
Nini kifanyike?Anunue pasi mpya ama?Sijajua mnaosema panadol au paracetamol mmefanya utafiti wa madhara ya moshi utoakanao na kuungua kwa kemikali hiyo ikiingia kwenye mapafu ina madhara gani? halafu kwa pasi zenye matundu ya kutolea maji chini uchafu ukishayeyushwa na kidonge hicho unajificha kwenye matundu hayo je inasaidia?
Asante sanaWasha pasi moto mzur sugua na panadol then futia tissue za maji I mean wipes
Swali zuri sana, maaana ndiyo nataka nianze kutafuta hizo pain killersSijajua mnaosema panadol au paracetamol mmefanya utafiti wa madhara ya moshi utoakanao na kuungua kwa kemikali hiyo ikiingia kwenye mapafu ina madhara gani? halafu kwa pasi zenye matundu ya kutolea maji chini uchafu ukishayeyushwa na kidonge hicho unajificha kwenye matundu hayo je inasaidia?
Baking soda ndio kiboko ya uchafu wa pasi
Mkuu huwezi kukata mkono kwasababu mtoto kaunyea, chuma bado mpya sana, nitatumia panadol tu kama nilivyoshauriwa na wengiNini kifanyike?Anunue pasi mpya ama?
Jaribu chaki nyeupe pia inafaaMkuu huwezi kukata mkono kwasababu mtoto kaunyea, chuma bado mpya sana, nitatumia panadol tu kama nilivyoshauriwa na wengi
Asante Mkuu, nilipo, chaki ni changamoto kuipataJaribu chaki nyeupe pia inafaa
Hiyo dawa uliyoisahau ni kidonge cha ASPIRIN. Njia nyingine ni kwa kutumia chaki nyeupe (hizi hizi za kuandikia ubaoni).Habari wana JF
Nimekumbwa na changamoto moja ya kupasi nguo zangu mwenyewe zoezi nililoliacha miaka thelathini iliyopita, nimeshika pasi naona ni chafu sana. Huko zamani kuna dawa tulikua tunaiweka alafu uchafu unatoka na yenyewe inatoa moshi mkali, sijui ni panadol au septrin ila nimesahau na ni muda mrefu. Naomba kujuzwa njia nyepesi ili nisiunguze nguo zangu na kuzichafua, Asanteni.
Unaitumiaje?Baking soda ndio kiboko ya uchafu wa pasi
Nakazia piaUnaitumiaje?
Hii ndio amira inayotumika kuumua maandazi? kama ndio inatumikaje?Baking soda ndio kiboko ya uchafu wa pasi
wenzetu wameweka kiwango cha moto na aina ya nguo sie kwa haraka ama kujisahau tunakiuka miongozo hiyooo
panadol huwa inaharibu sanaaa tu...tabaka (layer) lililowekwa kwenye pasi likishaharibiwa kidogo ubora wa pasi wapungua