Namna ya kusafisha pasi yako

Namna ya kusafisha pasi yako

Itakuwa huwa unainyooshea chupi, anyway Tumia panadol uilowanishe kidogo au mkaa ikishindikana tumia mchanga laini
Wengi tunajua umuhimu wa pasi,pasi yangu ya umeme imechafuka sana kwenye kitako cha kunyooshea nguo, imekua nyeusi sana kiasi ikipata moto ule weusi unaungua na huwezi tena kunyoosha nguo,inaungua!je,kuna dawa yoyote ya kusafishia kuutoa?zawani nilikuwa natumia vidonge vya panadol kuuyeyusha uchafu huo kisha kuifuta ila kwa sasa imedunda....
 
Itakuwa huwa unainyooshea chupi, anyway Tumia panadol uilowanishe kidogo au mkaa ikishindikana tumia mchanga laini
poa...chupi pia ni muhimu kuinyoosha,usibeze!tulisoma zamani,tulijifunza ktk sayansi kimu
 
Chumvi ndo kiboko yake. Weka moto wa pasi mpaka maximum, chukua chumvi kiasi na uweke kwenye karatasi ama gazeti juu ya meza ya kunyooshea. Anza kunyoosha juu ya hiyo chumvi, uchafu wote utaondoka. Mimi natumia njia hiyo.
 
Chumvi ndo kiboko yake. Weka moto wa pasi mpaka maximum, chukua chumvi kiasi na uweke kwenye karatasi ama gazeti juu ya meza ya kunyooshea. Anza kunyoosha juu ya hiyo chumvi, uchavu wote utaondoka. Mimi natumia njia hiyo.
dah,nimekuelewa vzr sana.....sijawahi kujua chumvi inahusika ktk hili,nitafanya jioni au kesho then nitaleta ushuhuda...shukran
 
Wengi tunajua umuhimu wa pasi,pasi yangu ya umeme imechafuka sana kwenye kitako cha kunyooshea nguo, imekua nyeusi sana kiasi ikipata moto ule weusi unaungua na huwezi tena kunyoosha nguo,inaungua!je,kuna dawa yoyote ya kusafishia kuutoa?zawani nilikuwa natumia vidonge vya panadol kuuyeyusha uchafu huo kisha kuifuta ila kwa sasa imedunda....
Tumia asprin
 
Back
Top Bottom