stickyfinger
Member
- Feb 26, 2013
- 53
- 20
Wakuu naomba msaada wa kuweza kusikia matangazo ya mpira ya Dstv kwa kiswahili. Kwenye screen kuna tangazo linasema audio 3: kiswahili ila nashindwa kuipata kwa remote control yangu. Nataka kuwasikia wakina Edo Kumwembe live.