Namna ya kupata matangazo ya kiswahili kwenye Dstv

stickyfinger

Member
Feb 26, 2013
53
20
Wakuu naomba msaada wa kuweza kusikia matangazo ya mpira ya Dstv kwa kiswahili. Kwenye screen kuna tangazo linasema audio 3: kiswahili ila nashindwa kuipata kwa remote control yangu. Nataka kuwasikia wakina Edo Kumwembe live.
 
Bonyeza button ya LANGUAGE alafu chagua LANGUAGE 2 OF 2 utapata matangazo kwa kiswahili
 
Back
Top Bottom