Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,548
- 64,909
Huko duniani una mpenzi kweli?The LORD is my shepherd..
Sitapungukiwa na kitu!!!
Hahahhhh mimi na marafiki tu sina mpenzi mkuu, hata hapa jf yupo!Huko duniani una mpenzi kweli?
Tumia hiyo mbinu ujipatie mkeNiko hapa kujifunza 😎
Unanifaa kabisa, katika shida na rahaSa hapo ndo umetongoza 🤔
Unazidiwa hata na Lucas mwashambwa
😂😂😂😂😂Tumia hiyo mbinu ujipatie mke
Kwahiyo uko wapi niijie hizo za matumizi.....Unanifaa kabisa, katika shida na raha
Ukibalehe utaanza kuwatafuta tuHahahhhh mimi na marafiki tu sina mpenzi mkuu, hata hapa jf yupo!
Mkuu Mimi ni Mzee sana. Labda useme nikatafute binti wa buku bee.Tumia hiyo mbinu ujipatie mke
Ukiingia ndani tu, nafunga mlangoKwahiyo uko wapi niijie hizo za matumizi.....
Hahahhh sitaki kungonoka hovyo mkuu, mpaka nimpate ubavu wangu !Ukibalehe utaanza kuwatafuta tu
Ambao hawana gharama wamechokaMkuu Mimi ni Mzee sana. Labda useme nikatafute binti wa buku bee.
Hutakiwi kuwa mtazamaji, unatakiwa uvue samakiWapenzi watazamaji tunakaa wapi
Wanasema mke mwema anapatikana baaHahahhh sitaki kungonoka hovyo mkuu, mpaka nimpate ubavu wangu !
Pigo za walevi hizo, hazina mantiki..Wanasema mke mwema anapatikana baa