Hii ya kuwekewa kitambaa usoni na kumwagiwa maji yanayotiririka kwa nguvu au kuwekewa bomba la mrija mdomoni kisha wanakujaza maji ya lita 20 kwa pupa haiumizi km ukiwashiwa mwanga wa taa, oya hujawahi mwanga wa taa unauma kishenzi sio kila taa ila kuna taa maalum na hizo taa sio vizuri kuziweka nyumbani kwako maana ni taa za kuwatesa watu sio nzuri, kuna taa fulani hivi zinakua njia 2/3 kuna nyeupe, halafu inafuata orange halafu inafuata red, sasa hii orange ndio ya kutesea ukiwashiwa full light km umefungiwa kwenye chumba na umefungwa wakirudi wanaweza wakakuta maiti