king majah
Member
- Jan 10, 2013
- 61
- 50
Kwanza tambua hakuna ugumu woowte wa wewe kuhama kutoka blogspot kwenda dot.com pili uwe tayari kuhama kwa maana ya kuwa tayari kulipia gharama husika ya kununua domain pamoja kuhost.
Domain nyingi huuzwa kati ya dola 10 mpaka 20 ina tofauti kutokana zinapatikana kutoka kwenye makampuni tofauti tofauti. Ukishanunua domain utatkiwa ufanye setting za dns katikahiyo domain uliyonunua.
Inahsauriwa umpate mtu mwenye uwezo wa kukufanyia hizo setting la sivyo utahisi umenunua kitu usichokuwa na kazi nacho. Ukitaka makampuni uliyonunulia ndio wakufanyie hizosetting basi watakutoza gharama za kiufundi ambazo ni nje ya gharama za domain husika.
Wala usiogope piga namba 0756262899 ili tukufanyie yote hayo kwa gharama ya shilingi elfu 50000.
Wahi sasa kabla offa haijaisha